Naomba kuuliza ongezeko la mishahara linawahusu watumishi wapi?

nipo kwenye kampuni.kwa siku ni 14,200 .na unaingia mpaka jumamosi kasoro jumapili.bado kuna over time.
 
Fundi day 16k
Kibarua 7k mpaka 10k
Ooh kumbe kibarua ana fanya kazi kila siku siku 30?, kumbe kibarua anaweza kwenda bank akakopesheka mpaka million 20 kwa dhamana ya ufundi ujenzi, kumbe fundi ujenzi ana bima ya afya nne kwa ajili yake, mke wake, wazazi na watoto wanne?, kumbe fundi ujenzi ana likizo ya malipo? Niendelee?
 
Je kama unalipwa 616000 dip nyongeza kiasi gani
 
Hapo ni watendaji wa vijiji na kata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…