Naomba kuuliza ongezeko la mishahara linawahusu watumishi wapi?

Unataka kusema mwalimu alikuwa analipwa shilingi laki 370k ? Mwenye ngazi ya certificate ? Je hiyo 370k ndo ilikuwa take home ? Yaani pesa baada ya makato au imekaaje ?
 
Unataka kusema mwalimu alikuwa analipwa shilingi laki 370k ? Mwenye ngazi ya certificate ? Je hiyo 370k ndo ilikuwa take home ? Yaani pesa baada ya makato au imekaaje ?

Take home....
 
Unawaongezea mshahara wafanyakazi wa kima cha chini kwa zaidi ya laki moja, na wale waliofanya kazi kwa miaka mingi unawaongezea kiduchu! Lengo sijui ni nini hapa.

Punguza mishahara na posho nono za wale ng'ombe wanaopiga tu kelele kule makao makuu ya nchi, ili maisha yaendelee kwa wafanyakazi.
 
Is it constant!? Huyo fundi Anaweza kwenda kukopea benki kipato chake,ana bima ya afya!?,akiuugua siku 10 bado analipwa huyo fundi!? Mwalimu yuko on sick pay kwa mwaka mzima.haya ni machache tu


Wewe ukiugua mwaka mzima lazima mkeo akakitembeze kwa mwalimu ili wewe ule.

Acha kujifariji kwa mambo ya kijinga ndugu,pambana
Fundi day 16k
Kibarua 7k mpaka 10k
 
Eeh kweni mm nimeandika nn,? Au umekosea quote??
 
Mm nilishaishiaga njiani katikati yakazi nikaondoka😂, nilikuwanimemaliza form four natafuta hata pesa ya vocha
Na kazi ya zege ukiingia njiani hata kama ni nusu saa kabla ya kumaliza kazi hupati chochote.
 
Unataka kusema mwalimu alikuwa analipwa shilingi laki 370k ? Mwenye ngazi ya certificate ? Je hiyo 370k ndo ilikuwa take home ? Yaani pesa baada ya makato au imekaaje ?
Mara nyingi mshahara ukiwa kidogo na makato yanakuwa kidogo. Huyo wa 370k makato yake yote. hayawezi kuzidi 50,000
 
Kama hauna taarifa sahihi uache kupotosha. Mwalimu anayelipwa mshahara mdogo zaidi ni mwanye ngazi ya mshahara TGTS B1 ambayo kwa sasa ni 479,000/-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…