Naomba kuuliza ongezeko la mishahara linawahusu watumishi wapi?

ni mfanyakazi gani wa serikali anayelipwa 370 baada ya makato?
Fuatilia kwingine sisi tupo upande wa elimu hapo ndipo tunafahamu...ila ulishawai kujiuliza wale wafanyakazi wa masijala ngazi ya cheti wanaanza na kiasi gani? Vipi kuhusu watendaji wa mitaa au vijiji? Unaufahamu mshahara wa diwani ni kiasi gani??
 
sawa.ila kuna mdau huko ndo alisema ni walimu
 
Alikosea, hana taarifa sahihi. Walimu ni miongoni mwa wafanyakazi wenye mishahara mikubwa serikalin ila hawana mapato ya ziada kama kada zingne hiyo ndio inafanya waonekane wana mishahara midogo
 
Fuatilia kwingine sisi tupo upande wa elimu hapo ndipo tunafahamu...ila ulishawai kujiuliza wale wafanyakazi wa masijala ngazi ya cheti wanaanza na kiasi gani? Vipi kuhusu watendaji wa mitaa au vijiji? Unaufahamu mshahara wa diwani ni kiasi gani??
Kwamba Diwani ana mshahara?
 
Kule kwetu fundi ni 20, na saidia ni 10, per day.
Wanafanya kazi kiasi gani? Maana fundi mwingine akishajuwa ni per day anafanya taratibu ili muda usogee achukue hela yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…