Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
Pole sana,tatizo mada zako za kutafuta wanaume peleka fb
Huku kumepoooza ,afu ni kama kuna marobot siyo watuUkisoma Facebook na ukipitia JF wewe mwenyewe huoni hata utofauti Marry?
PoaMambo Mchumba π
Kwakweli mwayaHakuna cha ziada rudi tu Fesibuku
mzabzabPole sana,
Naomba ajitokeze mwanaume ambaye amelala na mm
Ni kina nani hawooHuku cha ziada ni Lucas Mwashambwa na Lucas mwangomola
Wauza mbususuNi kina nani hawoo
Huku kuna watu wanaoshughurisha akili katika kudadavua mambo..Shikamooni wakubwa wote
Mara nyingi nikileta Mada zangu humu naambiwa hapa siyo fesibuku,mara jf imevamiwaa ,mara nini sijui,
Sasa swali langu ni hil
Kwani fesibuku na jf upi mtandao mkubwa,na kwanini nionekane mvamizi humu.
Mbona naona huku ni Kwa kawaida tu au kuna nini cha ziada.
Karibuni
SawaWauza mbususu
Ila Da Marry, eti Maroboti, πππππHuku kumepoooza ,afu ni kama kuna marobot siyo watu
Wapiiii