Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
- #41
Kwahiyo unasemajeSasa kama hapa JF kumepooza si urudi tu fesibuku kule kumechangamka..
Kwahiyo unasemajeSasa kama hapa JF kumepooza si urudi tu fesibuku kule kumechangamka..
Huyu ni maua bila shakaSio ile dipresheni ya chugga?
Ile sahivi imetulizwa wengeSio ile dipresheni ya chugga?
😂😂😂😂😂😂Jibu tu kwa faida ya members, kwanini unajichubua lakini
Shikamooni wakubwa wote
Mara nyingi nikileta Mada zangu humu naambiwa hapa siyo fesibuku,mara JF imevamiwaa ,mara nini sijui,
Sasa swali langu ni hil
Kwani fesibuku na JF upi mtandao mkubwa,na kwanini nionekane mvamizi humu.
Mbona naona huku ni Kwa kawaida tu au kuna nini cha ziada.
JF upi mtandao mkubwa,na kwanini nionekane mvamizi humu.
Umekuja tayari na Jibu lako ....tukusadiejeMbona naona huku ni Kwa kawaida tu au kuna nini cha ziada.
Huyu ni maua bila shaka
Huyu ni Maria,Huyu ni maua bila shaka
Unataka umtemee KohoziMambo Mchumba 😍
Wewe ni shekhe maua! Aka pipi tamu kwa kingerezaHuyu ni Maria,
Kujitia ujuaji hakusaidii
Aaah wapiIle sahivi imetulizwa wenge
Ostaz ndio kapiga mwelekaKanzu lile lile sijui nini na nini
Brodha Evelyn Salt nikumbushe huu usemi
Hili ntalibeba😅Binafsi nahitaji amani kuliko kitu chochote,akija hapa useme ukweli kwamba wewe ndo umemtaja 😂😂
Unatafuta kipigo bwanamdogo, wao na mishangazi yao watakuchangia 😀😀Vishu Mtata kaburuze ndama zako zielekee huko.
HayaaWewe ni shekhe maua! Aka pipi tamu kwa kingereza
Kwamba ni ua special auIle sahivi imetulizwa wenge
Hapana mdogo wangu sijakasirika. Naanzaje kukasirika tena. Wewe shusha nyuzi tu hapa uliza chochote tuko kukujibu mtoto mzuri.Dada kwani umekasirika
Kuna nyingine umeisahau ambayo ilianza kabla ya hizi tatuWewe ni shekhe maua! Aka pipi tamu kwa kingereza
Oooh sawaHapana mdogo wangu sijakasirika. Naanzaje kukasirika tena. Weww shusha nyuzi tu hapa uliza chochote tuko kukujibu mtoto mzuri.