Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
- #21
Weee koma,kuwa na adabuNje ya mada, iyo picha hapo ni ya kwako? Nataka niichukulie sheria mkononi.
Weee koma,kuwa na adabuNje ya mada, iyo picha hapo ni ya kwako? Nataka niichukulie sheria mkononi.
😂😂😂😂 jamaniiiHivi kwanini kina Mary wengi mnapenda kutumia mkorogo?
Mada hii haiusu mkorogoHivi kwanini kina Mary wengi mnapenda kutumia mkorogo?
Sawa hebu taja moja kati ya robot ulizoziona humu 🙂Huku kumepoooza ,afu ni kama kuna marobot siyo watu
Wee hilo jina ndo ulipewa na wazazi wako,hiyo picha je,Sawa hebu taja moja kati ya robot ulizoziona humu 🙂
Kumbe umeshajubuShikamooni wakubwa wote
Mara nyingi nikileta Mada zangu humu naambiwa hapa siyo fesibuku,mara JF imevamiwaa ,mara nini sijui,
Sasa swali langu ni hil
Kwani fesibuku na JF upi mtandao mkubwa,na kwanini nionekane mvamizi humu.
Mbona naona huku ni Kwa kawaida tu au kuna nini cha ziada.
Karibuni
Lione Kwanzaa nyooooAdabu ninayo ila nimeshindwa kujizuia maana wewe ni mrembo sana hapo kwa picha. Kabla ya kulala nitaishtulia kamoja nimeshaandaa na Vaseline hapa.
Vishu Mtata kaburuze ndama zako zielekee huko.
Kanzu mpya sheikh yule yule.....Kanzu lile lile sijui nini na nini
Brodha Evelyn Salt nikumbushe huu usemi
Jibu swali 🙂Wee hilo jina ndo ulipewa na wazazi wako,hiyo picha je,
We kwenu ni Newala au Tandahimba?Shikamooni wakubwa wote
Mara nyingi nikileta Mada zangu humu naambiwa hapa siyo fesibuku,mara JF imevamiwaa ,mara nini sijui,
Sasa swali langu ni hil
Kwani fesibuku na JF upi mtandao mkubwa,na kwanini nionekane mvamizi humu.
Mbona naona huku ni Kwa kawaida tu au kuna nini cha ziada.
Karibuni
Jibu tu kwa faida ya members, kwanini unajichubua lakiniMada hii haiusu mkorogo
Ana hasira sana bibie! Nje ya mada: Gwajima vipi??utakachoulizwa kwenye comment, utakiandikia uzi?
Kanzu mpya sheikh yule yule.....
Kwani huyu ni sheikh nani
Hata sikujui hukoWe kwenu ni Newala au Tandahimba?
Sasa kama hapa JF kumepooza si urudi tu fesibuku kule kumechangamka..Huku kumepoooza ,afu ni kama kuna marobot siyo watu