Naomba kuuliza siyo Kwa ubaya lakini

Mmoja unatumika hadi kuingiza hela na ni worldwide uko recognised na user wengi
Mwingine ni reginal,
Sasa utajua mwenyewe upi ni upi
 
Vingi sana kulinganisha na huko ukubwa sii hoja,mfano vipi kihusu faragha,vipi kuhusu kuifikia hadhira kipekee,ikiwa ni nyumbani,Afrika na Duniani kwa wazo lako linaloweza kuishi milele,vipi kuhusu mabadikishano ya mawazo,nitazamo kwa njia iliyo bora.Vipi kuhusu machaguo inayopewa kulingana na uhitaji na mazingira ya wakati na nyakati tofauti?
 
Sijawahi kuwa video vixen popote
Halafu mbona unanidharau hivo
Mpendwa, usiumize kichwa kisa maneno ya watu wa humu JF, chukulia kama vichekesho tuu.

Unaishi Dar sehemu gn ili siku tutoke kwenda kusafisha macho huko nje?
 
Hii mada sasa, aje Maxcence Mello mwenyewe ajibu, maana ina uelekeo wa kihasimu'iv!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…