Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
- #101
SawaYaani hata hilo jina lako limekaa kifesibuku fesibuku
SawaYaani hata hilo jina lako limekaa kifesibuku fesibuku
Kuna nini tena hapa
Usifanye hivyo. Mm ni mtu mwema sanaSitak
Ndio maana watu wa humu hawakuelewi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huku kumepoooza ,afu ni kama kuna marobot siyo watu
Karibu tule mwayaDiana kwenye 1 & 2
Kuna dada kakiwashaKuna nini tena hapa
Hivo eeeNdio maana watu wa humu hawakuelewi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
mamboKuna nyingine umeisahau ambayo ilianza kabla ya hizi tatu
Asante sanaKaribu tule mwaya
😂😂😂😂😂Sawa hongera Kwa kuninunua
😂😂😂 jamaniiiHuu Uzi wamecoment hata watu ambayo sijawahi ona comments zao ni wazee wa kulike tu salt, coca namsubiri minme😀
Alaah kumbe😁Kuna nyingine umeisahau ambayo ilianza kabla ya hizi tatu
Hahaha ee huoni wew sio robotiHuku kumepoooza ,afu ni kama kuna marobot siyo watu
Samahani naomba kuuliza ,hivi ni wewe uliyekuwa video queen kwenye wimbo wa rayvan wa miss buza??Hayaa
Hamjanijibu huu mtandao na FB upi mkubwa?Merry rudi tu Facebook
Wewe unajionaje?Ko Mimi ni Malaya