Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
- #121
Sijawahi kuwa video vixen popoteSamahani naomba kuuliza ,hivi ni wewe uliyekuwa video queen kwenye wimbo wa rayvan wa miss buza??
Halafu mbona unanidharau hivo
Sijawahi kuwa video vixen popoteSamahani naomba kuuliza ,hivi ni wewe uliyekuwa video queen kwenye wimbo wa rayvan wa miss buza??
Ukakosa majina yote ukaone ujiiteWewe unajionaje?
Rangi yake ya vidole kama ndizi za kuchomaSijawahi kuwa video vixen popote
Halafu mbona unanidharau hivo
Unataka umtemee Kohozi
Binti acha kuusumbua utulivu wa kijana wangu.Rangi yake ya vidole kama ndizi za kuchoma
Harufu yake ya wigi unapata Corona
Hee kikipigwa kigodoro lazima utamuona
Shughuli hajaalikwa, kijola kashashona
Kuna kububujikwa na machozi ya furaha!Shikamooni wakubwa wote
Mara nyingi nikileta Mada zangu humu naambiwa hapa siyo fesibuku,mara JF imevamiwaa ,mara nini sijui,
Sasa swali langu ni hil
Kwani fesibuku na JF upi mtandao mkubwa,na kwanini nionekane mvamizi humu.
Mbona naona huku ni Kwa kawaida tu au kuna nini cha ziada.
Karibuni
Wee kama naniMaria naomba urudi tu huko fb, kabla sijakupa ban.
Namuimbia mkuuBinti acha kuusumbua utulivu wa kijana wangu.
Wasikutishe mjukuu wangu.Shikamooni wakubwa wote
Mara nyingi nikileta Mada zangu humu naambiwa hapa siyo fesibuku,mara JF imevamiwaa ,mara nini sijui,
Sasa swali langu ni hil
Kwani fesibuku na JF upi mtandao mkubwa,na kwanini nionekane mvamizi humu.
Mbona naona huku ni Kwa kawaida tu au kuna nini cha ziada.
Karibuni
Asante sanaWasikutishe mjukuu wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Rangi yake ya vidole kama ndizi za kuchoma
Harufu yake ya wigi unapata Corona
Hee kikipigwa kigodoro lazima utamuona
Shughuli hajaalikwa, kijola kashashona
He! Kumbe hujaambiwa, mimi ndo monitor humu, yaani hujasoma hata sheria na orodha ya viongozi wa humu.Wee kama nani
Mleteni kwangu nimuwashe na kibamiaKuna dada kakiwasha