Desierto
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 901
- 3,112
Nauliza hivii kwa sababu serikali imewapuuza kabisa je? Mitandao kwenye nchi yetu inatumiwa na raia wasioipenda serikali Yao?
Kwenye hii habari comment asilimia 99% ni hawajaunga mkono kilichoongelewa
Je? raia wa mitandaoni ni wanaishi ndani ya simu au?
Kwenye hii habari comment asilimia 99% ni hawajaunga mkono kilichoongelewa
Je? raia wa mitandaoni ni wanaishi ndani ya simu au?