Hawa wanaishi mbinguni ndugu,ndio maana watu waduniani wanawaona maadui zao,wakiingia kwenye 18,wanawaua,wanawateka,wanawadhulumu,wanawaibia na kuwafanyia kila aina ya uovu.Kisa wanajua watu hao wanasifa za kuingia peponi ama za kuishi peponi.Nauliza hivii kwa sababu serikali imewapuuza kabisa je? Mitandao kwenye nchi yetu inatumiwa na raia wasioipenda serikali Yao?
Kwenye hii habari comment asilimia 99% ni hawajaunga mkono kilichoongelewa
Je? raia wa mitandaoni ni wanaishi ndani ya simu au?
View attachment 3489576