Sean Paul
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,330
- 3,289
Wakuu habari,
Sheria ya kikokotoo kwa watumishi waliokuwa na ajira rasmi ipo wazi. Ikitokea mtu amekosa ajira kwa sababu yoyote ile isiwe ya kuacha mwenyewe, sheria inaelekeza alipwe 33% ya mshahara wake kwa muda wa miezi 6. Kisha asubiri miezi 18 kama hajapata ajira nyingine amwandikie Mkurugenzi wa mfuko wake, michango yake ihamishiwe uchangiaji wa hiyari.
Sasa nauliza, mtu kama haitaji kuchangia kwa hiyari wanamfanyaje? Na kama akiwa mchangiaji wa hiyari faida zake zipi?
Wakati mwingine ajira ni kama utumwa, but you atleast need to speculate what tomorrow brings.
Kuna yeyote ameshawahi kupitia mchakato huo? Share experience yako.