Nimesoma kwenye Bible sijaona sehemu kimekataza sisi wafuasi wa masiha kuoa mke zaidi ya mmoja,
Ebu ambae anajua Kuna mstari unakataza kuoa mke zaidi ya mmoja tafadhali ningeomba anionyeshe, maana nimechoka kuwa na mke mmoja na ukichukulia hii michepuko ya nje inajua kuchuna tu haina mapenzi ya kweli, namimi kiukweli nguvu nilizonazo mke mmoja nahisi anitoshi kabisa kabisa.
Maana kila siku Mimi nataka tendo la ndoa na mwenzangu kasema yeye hawezi anataka nimle wiki Mara moja.