Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unashindana na biblia ya nini? Au Dini yako iliyokwambia uoe mke mmoja? Kwani hujui mafundisho ya Dini hayabadilishwi? Kama huwezi kubadili Imani Ili ufate Imani inayoruhusu wake wengi huwezi kufanikiwa kwa Imani isiyoruhusu wake zaidi mmoja, ushauri nao kupa wakati bado unaisumbua nafsi yako Dini yako ibadili misimamo yake kitu ambacho hakitafanyika ushauri nao kupa kwa Sasa acha kuboost nguvu za kiume yaani kula dawa au vitu vinavyokupa nguvu hizo nyingi kupita uwezo wa kutoshezelezwa na mke mmoja, pia unaweza kujiweka kwenye shughuli zingine kama mazoezi na kujiingiza kufanya kazi za muda wa ziada Ili mwili usibweteke kama mnyama wanaopata muda wa tendo hilo muda wote au wakati wowote.Nimesoma kwenye Bible sijaona sehemu kimekataza sisi wafuasi wa masiha kuoa mke zaidi ya mmoja,
Ebu ambae anajua Kuna mstari unakataza kuoa mke zaidi ya mmoja tafadhali ningeomba anionyeshe, maana nimechoka kuwa na mke mmoja na ukichukulia hii michepuko ya nje inajua kuchuna tu haina mapenzi ya kweli, namimi kiukweli nguvu nilizonazo mke mmoja nahisi anitoshi kabisa kabisa.
Maana kila siku Mimi nataka tendo la ndoa na mwenzangu kasema yeye hawezi anataka nimle wiki Mara moja.