Naomba kuuliza waungwana

Naomba kuuliza waungwana

Zainab j

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
1,817
Reaction score
2,362
Nimesoma kwenye Bible sijaona sehemu kimekataza sisi wafuasi wa masiha kuoa mke zaidi ya mmoja,

Ebu ambae anajua Kuna mstari unakataza kuoa mke zaidi ya mmoja tafadhali ningeomba anionyeshe, maana nimechoka kuwa na mke mmoja na ukichukulia hii michepuko ya nje inajua kuchuna tu haina mapenzi ya kweli, namimi kiukweli nguvu nilizonazo mke mmoja nahisi anitoshi kabisa kabisa.

Maana kila siku Mimi nataka tendo la ndoa na mwenzangu kasema yeye hawezi anataka nimle wiki Mara moja.
 
Ni ujanja ujanja tu wengi wamesimamia pale walipo andika kiongozi wa dini lazima awe mtu mwenye mke mmoja nk na wala hakuna alipo ambiwa mtu kuoa mke mmoja
 
umeona mkuu,kumbe hakuna andiko ambalo limekataza ndoa ya namna hiyo
 
Nimesoma kwenye Bible sijaona sehemu kimekataza sisi wafuasi wa masiha kuoa mke zaidi ya mmoja,

Ebu ambae anajua Kuna mstari unakataza kuoa mke zaidi ya mmoja tafadhali ningeomba anionyeshe, maana nimechoka kuwa na mke mmoja na ukichukulia hii michepuko ya nje inajua kuchuna tu haina mapenzi ya kweli, namimi kiukweli nguvu nilizonazo mke mmoja nahisi anitoshi kabisa kabisa.

Maana kila siku Mimi nataka tendo la ndoa na mwenzangu kasema yeye hawezi anataka nimle wiki Mara moja.
Ni askofu pekee aliyeambiwa aoe mke mmoja. Wengine wote ni pundaaaa!!!
Wanajibebesha mizigo isiyo yao ndiyo maana wanaoongoza Kwa kuchepuka na kuzaa kwenye ndoa za watu ni Wanaojiita wakristo. Wanaoongoza Kwa migogoro ya Ndoa ni Wanaojiita Wakristo. Wanaoongoza Kwa ulevi kwenye mabaa yenye mabaa medi Wazuri ni Mal wa uongo.
Mikoa inayoongoza ukimwi ni yenye Wakristo wengi. Walioongozakufa korona ni nchi za Makristo wa uongo wakioleta hizo Mila zitokanazo na Haki sawa Kwa na sio Biblia.
Wanawake wanaodanganya kwenye ndoa na kubambika watoto baba zao wengi ni Wakristo mana Kwa Waislam kumdanganya mtoto baba ni dhambi.
Wanaoongoza kuishi bila ndoa wengi ni Makristo wa uongo.

Kifupi kanuni ya kuoa Mke mmoja ni kitanzi kikubwa sana Kwa wakristo na kitawaleleka wengi Jehanam.

Ili Mkristo aoe mke mmoja na kutimiza kiapo Cha kutenganishwa na Kifa ni Lazima awe na Imani kubwa sana. Amwamini Mungu na kumpenda kuliko kitu Chochote awapende na Jirani yake kama nafsi yake . Amwamini Yesu kuwa ni Mwokozi na awe anaongozwa na Roho Mtakatifu. Mtu huyu anaweza kuoa mke mmoja na akaapa mbole ya madhebahu na Kutoa sadaka yake ya Ndoa.

Wengi wameapa uongo Mbele ya madhebahu ndio maana Pepo la tamaa ya ngono limewavaa zaidi wakristo na hata SHERIA za mfumo Kristo zinawaogopa wazinifu na kuwapa kipao mbele. Na ukumbuke kuwa wakristo wanaapa kuwa kifo ndicho kitakachowatenganisha ndio maana mauaji ni Mengi Kwa sababu walishaapa kufia kwenye ndoa.

Tupazeni sauti hizi kuoa wake wengi isiwe ni suala la kutengwa na kuonekana ni jambo la kishamba.
Wenye uwezo wa kifedha na kimwili waruhusiwe kuoa na waoe bila aibu.
 
Tulia wewe
1662351748246.jpg
 
Imeandikwa

1 Wakorintho 7
2 Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.

Zingatia: mke wake mwenyewe na sio wake zake mwenyewe
 
Nimesoma kwenye Bible sijaona sehemu kimekataza sisi wafuasi wa masiha kuoa mke zaidi ya mmoja,

Ebu ambae anajua Kuna mstari unakataza kuoa mke zaidi ya mmoja tafadhali ningeomba anionyeshe, maana nimechoka kuwa na mke mmoja na ukichukulia hii michepuko ya nje inajua kuchuna tu haina mapenzi ya kweli, namimi kiukweli nguvu nilizonazo mke mmoja nahisi anitoshi kabisa kabisa.

Maana kila siku Mimi nataka tendo la ndoa na mwenzangu kasema yeye hawezi anataka nimle wiki Mara moja.

Endelea kusoma ujiridhisha hakuna oa
Si Nia unayo na nguvu unazo😃😃😃
 
Ni askofu pekee aliyeambiwa aoe mke mmoja. Wengine wote ni pundaaaa!!!
Wanajibebesha mizigo isiyo yao ndiyo maana wanaoongoza Kwa kuchepuka na kuzaa kwenye ndoa za watu ni Wanaojiita wakristo. Wanaoongoza Kwa migogoro ya Ndoa ni Wanaojiita Wakristo. Wanaoongoza Kwa ulevi kwenye mabaa yenye mabaa medi Wazuri ni Mal wa uongo.
Mikoa inayoongoza ukimwi ni yenye Wakristo wengi. Walioongozakufa korona ni nchi za Makristo wa uongo wakioleta hizo Mila zitokanazo na Haki sawa Kwa na sio Biblia.
Wanawake wanaodanganya kwenye ndoa na kubambika watoto baba zao wengi ni Wakristo mana Kwa Waislam kumdanganya mtoto baba ni dhambi.
Wanaoongoza kuishi bila ndoa wengi ni Makristo wa uongo.

Kifupi kanuni ya kuoa Mke mmoja ni kitanzi kikubwa sana Kwa wakristo na kitawaleleka wengi Jehanam.

Ili Mkristo aoe mke mmoja na kutimiza kiapo Cha kutenganishwa na Kifa ni Lazima awe na Imani kubwa sana. Amwamini Mungu na kumpenda kuliko kitu Chochote awapende na Jirani yake kama nafsi yake . Amwamini Yesu kuwa ni Mwokozi na awe anaongozwa na Roho Mtakatifu. Mtu huyu anaweza kuoa mke mmoja na akaapa mbole ya madhebahu na Kutoa sadaka yake ya Ndoa.

Wengi wameapa uongo Mbele ya madhebahu ndio maana Pepo la tamaa ya ngono limewavaa zaidi wakristo na hata SHERIA za mfumo Kristo zinawaogopa wazinifu na kuwapa kipao mbele. Na ukumbuke kuwa wakristo wanaapa kuwa kifo ndicho kitakachowatenganisha ndio maana mauaji ni Mengi Kwa sababu walishaapa kufia kwenye ndoa.

Tupazeni sauti hizi kuoa wake wengi isiwe ni suala la kutengwa na kuonekana ni jambo la kishamba.
Wenye uwezo wa kifedha na kimwili waruhusiwe kuoa na waoe bila aibu.
umeongea fact mkuu 100%✓
 
Back
Top Bottom