Ninafanya kazi ya Ulinzi KK SECURITY usiku silali mchana silali.Kama kichwa cha habari kinavyoeleza,naomba kukufahamu member na mdau mwenzetu wa jukwaa hili,almaarufu kama MBAO ZA MAWE.
Napenda kufahamu,ndugu yangu wewe una kazi/cheo gani kwenye taifa hili maana,si asubuhi si mchana yaani kila muda hauishi kuchangia tena ulivyo shapu kila jukwaa wewe haukosekani.namaanisha hufanyi kazi au kazi yako nyepesi kiasi gani,kiasi kwamba haiku keep busy.
Naam! Kila muda nakuwa active maana kuna taarifa za usalama tunazipata humu.Ahaaaaa,sawa mkuu kumbe upo mzigoni 24 hours..,tupo pamoja
Sina 🆔 za hivi nina Id nyingine ila zinatambulishwa kwa majina matatu tena yote ya Kiswahili.Multiple.. 🆔
Ila wewe nayapenda majibu yako japo hua unanifanya nacheka kuna mengine magumSina 🆔 za hivi nina Id nyingine ila zinatambulishwa kwa majina matatu tena yote ya Kiswahili.
Nimepewa humu ID nyingi sana kila anayeuliza Mbao za Mawe wanasema ni mimi najitekenya mwenyewe na kucheka.Ila wewe nayapenda majibu yako japo hua unanifanya nacheka kuna mengine magum
"Mtu wa Green"Nimepewa humu ID nyingi sana kila anayeuliza Mbao za Mawe wanasema ni mimi najitekenya mwenyewe na kucheka.
Nina ID kadhaa ndiyo ila sio za hivi Id zangu lazima ziwe na majina matatu. Mfano: Kamati ya Harusi.
Naam!"Mtu wa Green"
Duh! Una IDs ngapi mkuu?Naam!
4Duh! Una IDs ngapi mkuu?