Naomba kuuliza

Naomba kuuliza

Itovanilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
2,314
Reaction score
5,150
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza,naomba kukufahamu member na mdau mwenzetu wa jukwaa hili,almaarufu kama MBAO ZA MAWE.
Napenda kufahamu,ndugu yangu wewe una kazi/cheo gani kwenye taifa hili maana,si asubuhi si mchana yaani kila muda hauishi kuchangia tena ulivyo shapu kila jukwaa wewe haukosekani.namaanisha hufanyi kazi au kazi yako nyepesi kiasi gani,kiasi kwamba haiku keep busy.
 
Ninafanya kazi ya Ulinzi KK SECURITY usiku silali mchana silali.
 
Yawezekana kaajiliwa kwa kazi ya kusoma post ili zinazokinzana na jiwe a.k.a kichaa watu wasio julikana wale naye sahani moja
 
Ila wewe nayapenda majibu yako japo hua unanifanya nacheka kuna mengine magum
Nimepewa humu ID nyingi sana kila anayeuliza Mbao za Mawe wanasema ni mimi najitekenya mwenyewe na kucheka.

Nina ID kadhaa ndiyo ila sio za hivi Id zangu lazima ziwe na majina matatu. Mfano: Kamati ya Harusi.
 
"Mtu wa Green"
 
Back
Top Bottom