Naomba kuuliza

Kuna mwalimu wangu mmoja kuna siku muda wa vipindi nilikutana nae kariakoo, siku ingine muda wa vipindi tukakutana posta mpya. Kesho yake darasani akaanza kuniponda kila siku nakukuta mjini darasani unasoma saa ngapi?! Na mimi nikamuuliza mwalimu ina maana tunakutana mjini kila siku na wewe unafundisha saa ngapi?! Sina haja ya kuelezea kilichotokea baada ya jibu langu.
 
Watanzania wengine wambea sana,..muweka huu uzi napenda nikuulize wewe mwanamke au mwanamme.!??..Hivi wewe inakuhuhusu nini!? unapata faida gan?! kumpeleleza jamaa muda gani yuko kwenye jukwaa!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…