Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Nchangien buku buku nawaambiaBasi umeeleweka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchangien buku buku nawaambiaBasi umeeleweka
Hahaahaahaaah! [emoji23][emoji23][emoji23]Yaan wanafanana kabisa ... Kabisa yaan hadi kuongea kuandika .. Kukojoa na kunya
Sawa mkuuMuhusika kashanijibu mkuu
Unanijua?
Kuna mwalimu wangu mmoja kuna siku muda wa vipindi nilikutana nae kariakoo, siku ingine muda wa vipindi tukakutana posta mpya. Kesho yake darasani akaanza kuniponda kila siku nakukuta mjini darasani unasoma saa ngapi?! Na mimi nikamuuliza mwalimu ina maana tunakutana mjini kila siku na wewe unafundisha saa ngapi?! Sina haja ya kuelezea kilichotokea baada ya jibu langu.Kama kichwa cha habari kinavyoeleza,naomba kukufahamu member na mdau mwenzetu wa jukwaa hili,almaarufu kama MBAO ZA MAWE.
Napenda kufahamu,ndugu yangu wewe una kazi/cheo gani kwenye taifa hili maana,si asubuhi si mchana yaani kila muda hauishi kuchangia tena ulivyo shapu kila jukwaa wewe haukosekani.namaanisha hufanyi kazi au kazi yako nyepesi kiasi gani,kiasi kwamba haiku keep busy.
Watanzania wengine wambea sana,..muweka huu uzi napenda nikuulize wewe mwanamke au mwanamme.!??..Hivi wewe inakuhuhusu nini!? unapata faida gan?! kumpeleleza jamaa muda gani yuko kwenye jukwaa!??Kama kichwa cha habari kinavyoeleza,naomba kukufahamu member na mdau mwenzetu wa jukwaa hili,almaarufu kama MBAO ZA MAWE.
Napenda kufahamu,ndugu yangu wewe una kazi/cheo gani kwenye taifa hili maana,si asubuhi si mchana yaani kila muda hauishi kuchangia tena ulivyo shapu kila jukwaa wewe haukosekani.namaanisha hufanyi kazi au kazi yako nyepesi kiasi gani,kiasi kwamba haiku keep busy.
😂😂tigopesa huyo kila muda na simu tu