Naomba kuwaaga rasmi Wana JF, nikipona tutakuwa pamoja tena

Totaonanaa Tena beate tuanaonanaa tenaa nyimbo ya nandi kipind Cha msiba wa jpm


Na Kuna wimbo mwingine wa peter msechu ....magufulii lalaaaa ..
 
Kichuguu ubongo wako ni mkubwa kuliko huu ulioutumia hapo, Karugendo is no more,hukudhani hili?
 
Mkuu umesahau kuandika namba yako ya simu, Sasa utapaje huo uteuzi, Maana umetumia akili kubwa kupata attention.
Naamini kuwa hukujua kuwa wewe ni mjinga,hadi ulipogundua hilo,Rip p karugendo!
 
Duh I wish siku nikikaribia kuondoka na Mimi niwe na uwezo was kuandika kama hivi
 
mwenye kuelewa na fikiri atakuwa ameelewa lakini shida ipo kwa chadema hawawezi kuelewa madini kama haya hata siku moja ujinga umewajaa kichwani mwao na dicteta wao mbowe
 
mwenye kuelewa na fikiri atakuwa ameelewa lakini shida ipo kwa chadema hawawezi kuelewa madini kama haya hata siku moja ujinga umewajaa kichwani mwao na dicteta wao mbowe
Ni vigumu kuelewa mkuu sababu chama chenyewe kimejaa mateja, wapiga ndole ndan ya mabasi, vibaka na wauza unga.
 
Ni vigumu kuelewa mkuu sababu chama chenyewe kimejaa mateja, wapiga ndole ndan ya mabasi, vibaka na wauza unga.
Msando so mpiga ndole na mmempa ukuu wa wilaya atawatia madole wote yule mpare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…