Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Was "she" a real mamaa?😝😝😝😝Mkuu hii taarifa ya kwel?? Plz
Was "she" a real mamaa?😝😝😝😝Mkuu hii taarifa ya kwel?? Plz
Hisia zangu zinasema hakuwa mwanamke...halafu zaidi alifariki usiku uliofuata exactly 24hrs baada ya kupost huu uzi...!!!Nini tena mamiii
Mungu akutetee
Pole sana
Utaishi
Utashuhudia ulichokitetea
Nimeishiwa nimeumia sana
Tunakuombea
Kuna hotel na hospitali sasa nmeshimdwa jua aliongea haya maneno akiwa wapi katika hizo sehemu 2Just google
Ooh ok sawa alikuwa kalazwa anaumwa.. Ilikuwa ni Regency hospitalKuna hotel na hospitali sasa nmeshimdwa jua aliongea haya maneno akiwa wapi katika hizo sehemu 2
Kuna uzi wa kifo chake
Amefariki dunia
Mungu ailaze pema roho yake
Oh noHisia zangu zinasema hakuwa mwanamke...halafu zaidi alifariki usiku uliofuata exactly 24hrs baada ya kupost huu uzi...!!!
Nukuu..'Ninapoaga leo hapa tarehe 23/06/2021 saa 23: 15 usiku naaga kwa uchungu mkubwa...'Oh no
Mungu wangu
Kwa nini lakini
Uwiiiii
Thx Mkuu kwa taarifa
So alifariki lini?
Aliandika lini?
Hivi wagonjwa hukaa hospitali au hotelini,RIP Priva KarugendoKuna hotel na hospitali sasa nmeshimdwa jua aliongea haya maneno akiwa wapi katika hizo sehemu 2
Masaa 24 baadaye alifarikiYaani mgonjwa upo kitandani unaiwaza Katiba mpya tu badala kupigani afya yako,usijistress mkuu,fanya matibabu kwanza,usiingize fikra zingine kichwani kwako,unazidi kujiumiza bure tu,by the way,pole sana
Quarantine sasa hivi watu hukaa majumbani kwakoHivi wagonjwa hukaa hospitali au hotelini,RIP Priva Karugendo
Hana cha karantin wala kantiniQuarantine sasa hivi watu hukaa majumbani kwako
"decoded"Hivi wagonjwa hukaa hospitali au hotelini,RIP Priva Karugendo
Apumzike Kwa AmaniKuna uzi wa kifo chake
Amefariki dunia
Mungu ailaze pema roho yake
Ninapoaga leo hapa tarehe 23/06/2021 saa 23: 15 usiku naaga kwa uchungu mkubwa
Nilijaribu na naondoka bila kuiona, naamini waliobaki watazidi kuisimamia hii na itapatikana
Ninaponyamaza na nikiwa katika maumivu makubwa nimepata nguvu yakuuandikia ulimwengu
Wasaidie Watanzania,
Naondoka mie, nakuomba Jambo naamini sitoiona katiba hiyo ila wape wananchi katiba mpya
Mkuu hii taarifa ya kwel?? Plz
Ailaze wapi mkuu?Kwenye mwanga mkali upofushao macho au mahali pema?