Naomba kuwaaga rasmi Wana JF, nikipona tutakuwa pamoja tena

Kama muislam ndugu yangu toa Shaada kama mkristo ndugu sema neno lolote la kumsifu bwana Mara kwa mara Kabla sakarti mauti ujakufika ili ufike mwisho mwema ili Jambo la katiba mpya alina faida lolote kwako ndugu yangu
 
Mkuu umeandika kwa machungu sana,, ila siku katiba mpya itakapopatikana basi naimani utaisikia huko utakapo kuwa...

Hii nchi sio ya kuikatia tamaa, lolote linaweza kutokea wakati wowote
 
Ww sio mtu naona ni kibwengo.mbona siku zote unawaza chadema tu.
 
Ishi na watu vizuri wataambatana nawe kwenye shida na Raha, ishi na watu vibaya wataambatana nawe kwenye raha.

Huu uzi nilianzisha katika mazingira yasiyotabirika ,mazingira ambayo unajikuta upo mwenyewe ndugu na jamaa wameambiwa eneo hili haruhusiwi mtu kuingia. Muda ambao umebaki peke yako kuhesabu maadui wako ukiomba upate muda wakuwaomba msamaha lakini huna nafasi, muda wa ushuhuda haupo nk

Lakini pia ipo njia pasipo na njia, niwatakie maridhiano na kupatana tunapopata nafasi. Lakini tusimamie tunachokiamini.
 
Kama bado ni wewe basi Mungu wetu ni mwema na pole sana.. Ulituweka kwenye mtanziko mkubwa na mimi ni mmojawapo wa waliodhania wewe ni marehemu Father Karugendo.. Post yako ya mashaka ya kuendelea kuwa hai na kifo chake kwa pamoja vilipishana kwa exactly saa 24
Kingine ni mode ya mwandiko mlishabihiana karibia kila kitu
Ukiweza hebu safisha hili wingu tafadhali..pole tena na tena...!!!!
 
Kesho pombe ikikutoka,tueleze unasumbuliwa na nini. Yaani unataka Samia Suluhu akupe Katiba Mpya ili ubaki JF?
Comments za kishetani.Watu Kama wewe wasio na chembe ya huruma wananuka shombo la wasiojulikana.
 
Hebu kalinganishe ile handwriting na hii hata hivyo sikuthibitisha bali nilisema '..hisia zangu...'
Siyo wewe tu. Ni wengi hata mimi nilidhani ametutoka. Kwa mfano mimi na wengine wengi tu walidhani ni yule mwandishi aliyeacha upadri aliyefariki siku za karibuni.
 
Omba mods waufute maana humo ndani umepewa R.I.P kama zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…