Naomba kuwaaga rasmi Wana JF, nikipona tutakuwa pamoja tena

Very sad indeed

Watu wema hawadumu kitu naogopa sio kufa ila nimekufa na kuacha athari gani katika hii dunia?

I'm sory okay we pray for you!
 
Tupe ID yako nyingine utakayokua unatumia popote uendapo tafadhal.
 
Umenikumbusha Profesa mwesiga baregu, hayo ndomaneno aliyokufa nayo. Kweli kongamano nimuhimu sana
 
Umefikia ukomo kwa nini: unaumwa kiasi kuwa hutakuwa hai siku zijazo? Umetishiwa kazini kuwa ukiandika tena utafukuzwa kazi na wewe unaijali kazi yako?

Jukwaa hili ni la kuapashana habari siyo sehemu ya watu kusoma fasihi na kuanza kuzichambua. Najua kuna watu kadhaa huependa kutumia jukwaa hili kuandika fasihi, na mara nyingi post zao hupita bila kupewa attention; kama umeandika fasihi basi tambua hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…