My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,161
Asee leo nimeshangaa sana wakuu na nimeamini wanaimani ya ovyo sana
Kilichonikuta dk 5 zilizopita
Nimeamka nikaenda kwa jirani yangu kwa lengo ya kununua maji maana yeye anakisima kwa bahati mbaya ama nzuri sijawahi kupata shida ya maji na uhitaji wa maji ya haraka kama ilivyo leo.
Yaani Jumamosi asubuhi
Sasa bwana nimeenda na dumu zangu mbili mpaka lilipo bomba lao, huwa liko kwa nje ila wanafunga na kufungua kwa ndani.
Akaja huyo mmama akanambia Jumamosi hatuuzi maji yaani fresh kabisa hawauzi sababu ya sabato na maji wanayo.
Nimeshangaa sana sio kidogo, sasa kama hamruhusiwi kufanya biashara siku ya sabato sasa si mtoe maji bure kama sadaka ama hamruhusiwi na kutoa sadaka pia nyie raia mnazingua sana
Hizi Dini wenye nazo wangekuja kuzichukua tubak na akili za mababu zetu. How on earth kwasaabbu ya imani unashindwa kumpa jirani yako maji afu uko nayo ya kutosha?
Yaani yakitoka haya madhehebu ya kina Mwamposa wasabato nao ni watu wa ovyo sana.