Naomba leo mniache niseme na Wasabato, nimeamua kuamka nao leo

Naomba leo mniache niseme na Wasabato, nimeamua kuamka nao leo

Kwahyo hujaoga ? [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa home maji yapo muda wote sema father house kachimba kisima kirefu mpaka kagusa rock ya chumvi, ko yanakua na chumvi chumvi dzain, so yanakua niyakuoshea vyombo na kuogea, ila kwa jiran huwa nafata ya kupikia, yakunywa nanunua mzee
 
Kiumbe ambacho anadai kwa stori zake kakiumba yeye ina maana alifahamu Hili.
Mungu ni stori za kale zilizotumika kutishia watoto wakalale usiku.
Mungu Sio dikteta thus kampa mwanadamu freewill ya kuchagua mema na mabaya
 
Wewe ni dhehebu gani? Biblia waandike wakatoliki halafu wewe ndio ujifanye unaijuwa kuliko waandishi wenyewe?

Insanity.
Kwa kweli japo sikubaliani na kanisa katoliki kwa baadhi ya mambo lakini huwa nawashangaa sana wasio wakatoliki kulibeza kanisa katoliki wakati ndilo lililokusanya maandiko kadhaa na kutengeneza CANNON OF SCRIPTURES ambayo tunaiita Biblia. Bila kanisa katoliki hapangekuwa na biblia kama tuliyo nayo leo. Ajabu watu hawajui hata historia ya ukristo mtu anashika biblia mkononi na kumtukana aliyeiasisi. Huu ni ujinga usioelezeka!!
 
Kwahiyo kakaza hajakupa just maji? Hii ni mpya!
HUwez amini yaan kanikuta lilipo bomba ye anakua kwa ndan mnaongea kwny tundu la ukuta, asee kanambia hawauzi kisa leo sabato, yan ishu kama maji ambayo unajua umuhimu wake ila dini yako ya mapokeo inakukataza kuuza maji kwa jirani yako
 
Me uhakika,iyo siku ya saba ambayo mungu alipumzika ni kwasabb mungu hanaga michongo ya kulima wala kutafuta pesa wala hana majirani wakumgongea hodi ila angekua yuko physical jumamosi asingekua anaiogopa km wasabato
 
Pole sana kijana nunua Pilton na maji makubwa ya dasani ushushie kisha njoo kimara baruti na dumu zako za maji nitakupatia bure hata lita 1000 bila malipo
Hayo maji baki nayo tu mkuu
 
MIMI SIO MSABAYO ILA NAHESHIMU ITIKADI ZAO,HUPUNGUKIWI KITU UKIHESHIMU UTARATIBU WA MTU,LEO IMEKUKUTA SABATO SABABU SIKU YA SABATO HAWAFANYI KAZI MPAKA SAA 1 JIONI.HAWA NDUGU HATA KUPIKA HAWAPIKI SEMBUSE KUKUUZIA MAJI.
 
Ni lile linaloabudu sanamu ya Maria badala ya Mungu
Suala lankuabudu sanamu ni suala la mtu binafsi si la kanisa katoliki. Ukiwa na veneration ya kitu chochote kupitiliza ni kukiabudu pia. Nashangaa mtu anaongea habari ya sanamu wakati biblia anayosoma nayo yote ni SANAMU ZA SAUTI. Naona kuna watu wanadhani sanamu ni mpaka ichongwe kwa mti au kufinyangwa kwa udongo!!
 
Back
Top Bottom