Naomba leo mniache niseme na Wasabato, nimeamua kuamka nao leo

Naomba leo mniache niseme na Wasabato, nimeamua kuamka nao leo

Aliyekunyima maji Yuko sahihi Kwa sababu zifuatazo.
1. Uumbaji. Mungu aliumba mbingu na nchi Kwa siku sita na siku ya saba siku ya sabato mungu alipumzika na kustarehe hakufanya kazi yoyote.
2. Kutakasa sabato. Mungu kaagiza katika amri kumi kwamba ikumbuke siku ya sabato na uitakase usifanye kazi yoyote wala mnyama wako wala mgeni aliye ndani ya malango yako wala chochote ulichonacho kisifanye kazi siku ya sabato.
Wakolosai 2:8
Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu, wala si kwa jinsi ya Kristo.

Wakolosai 2:20
Basi ikiwa mlikufa pamoja na Kristo mkayaacha yale mafundisho ya awali ya ulimwengu, kwa nini kujitia chini ya amri, kama wenye kuishi duniani,

Wakolosai 2:21
Msishike, msionje, msiguse;

Wakolosai 2:22
(mambo hayo yote huharibika wakati wa kutumiwa); hali mkifuata maagizo na mafundisho ya wanadamu?

Wakolosai 2:23
Mambo hayo yanaonekana kana kwamba yana hekima, katika namna ya ibada mliyojitungia wenyewe, na katika kunyenyekea, na katika kuutawala mwili kwa ukali; lakini hayafai kitu kwa kuzizuia tamaa za mwili.
 
Aliyekunyima maji Yuko sahihi Kwa sababu zifuatazo.
1. Uumbaji. Mungu aliumba mbingu na nchi Kwa siku sita na siku ya saba siku ya sabato mungu alipumzika na kustarehe hakufanya kazi yoyote.
2. Kutakasa sabato. Mungu kaagiza katika amri kumi kwamba ikumbuke siku ya sabato na uitakase usifanye kazi yoyote wala mnyama wako wala mgeni aliye ndani ya malango yako wala chochote ulichonacho kisifanye kazi siku ya sabato.
Baada ya kupumzika siku ya Saba siku ya nane aliendelea na kazi gani? Isije kuwa Mungu alivyomaliza mishe zake akapumzika

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni dhehebu gani? Biblia waandike wakatoliki halafu wewe ndio ujifanye unaijuwa kuliko waandishi wenyewe?

Insanity.
Acha kupotosha watu Basi, hakuna mkatoliki aliyeandika biblia,,,

Vitabu vyote kwenye biblia vimeandikwa na WAYAHUDU hakuna kitabu hata kimoja Cha mkatoliki au mzungu, au mvaticani,,,

Walichofanya wakatoliki ni kukaa kwenye mkutano (MTAGUSO WA VATICAN) na kuamua kuviunganisha vitabu hivyo vyote vya WAYAHUDI nakuviita BIBLIA.

SASA usipotoshe watu kwakusema eti BIBLIA IMEANDIKWA NA WAKATOLIKI,, Hebu nitajie kitabu au waraka hata mmoja kwenye biblia ulioandikwa na MKATOLIKI hata MMOJA????!!!! Nikitabu gani kwenye biblia kimeandikwa na MKATOLIKI???!
 
Unapinga nini na unaandika nini? Biblia imeletwa na nani? Ni nani aliyekusanya vitabu na kuvipanga na kupata Biblia?

Unafahamu Apocrypha books ambazo hazikuingizwa kwenye Biblia kama book of Enock na kitabu cha Sila?
 
Attachments

  • 20230629_233943.jpg
    20230629_233943.jpg
    33.5 KB · Views: 2
Unapinga nini na unaandika nini? Biblia imeletwa na nani? Ni nani aliyekusanya vitabu na kuvipanga na kupata Biblia?

Unafahamu Apocrypha books ambazo hazikuingizwa kwenye Biblia kama book of Enock na kitabu cha Sila?
We chizi kwelii,,, jibu hoja acha kuzunguka zunguka!

Umesema biblia IMEANDIKWA na WAKATOLIKI????

Nimekuuliza nitajie hata kitabu au waraka mmoja kwenye biblia iliandikwa na MKATOLIKI unaanza kuzunguka zunguka!

Taja jina la mkatoliki au papa hata mmoja aliyeandika kitabu gani kwenye biblia?????

Jibu hoja acha kuzunguka zunguka ovyo!!!
 
Jinga kabisa wewe, Wakatoliki ndo wenye imani yao na ndo baba wa madhehebu yote ya kikristo. Wao ndo waliotengeneza njia yenu wote alafu leo hii uniambie hawajui walichokitengeneza!!!?? Huko kwa manabii wenu mnalishwa ujinga mtupu.
Naunga mkono hoja
 
Yamekukuta kama yangu inaniumga mpaka leo japo imepita miaka
nilitoka home pana umbali kidogo na huyo mama kwenda kununua sabuni nafik ananiambia aah leo sabato nikondoka kwa uchungu sana.
Wanasahau hata Yesu liwaulizaga watoto zenu sijui wanapunda wakizama mtoni hamtawatoa kisa sabato?
Ila Cha ajabu wanagongana siku ya sabato
 
We chizi kwelii,,, jibu hoja acha kuzunguka zunguka!

Umesema biblia IMEANDIKWA na WAKATOLIKI????

Nimekuuliza nitajie hata kitabu au waraka mmoja kwenye biblia iliandikwa na MKATOLIKI unaanza kuzunguka zunguka!

Taja jina la mkatoliki au papa hata mmoja aliyeandika kitabu gani kwenye biblia?????

Jibu hoja acha kuzunguka zunguka ovyo!!!
Chizi babako mzazi, aliyekusanya hizo nyaraka na kuziweka pamoja na kuziita Biblia ni nani?

Yani wewe mnya nje ndio uzijuwe nyaraka kuliko aliyezijusanya na kuzihariri na kuziweka kwenye kitabu kimoja na kukiita Biblia?
 
Jinga kabisa wewe, Wakatoliki ndo wenye imani yao na ndo baba wa madhehebu yote ya kikristo. Wao ndo waliotengeneza njia yenu wote alafu leo hii uniambie hawajui walichokitengeneza!!!?? Huko kwa manabii wenu mnalishwa ujinga mtupu.
Uongo

Ukristo haukuanzia Roma ulianzia Israel Yesu alikozaliwa na kufanya huduma na kuteua mitume wake

Roman Catholic sio baba wa makanisa yote uongo

Mitume walitawanyika sehemu.mbali mbali kupeleka Ukristo Roma ikiwa sehemu mojawapo sio sehemu pekee
 
Chizi babako mzazi, aliyekusanya hizo nyaraka na kuziweka pamoja na kuziita Biblia ni nani?

Yani wewe mnya nje ndio uzijuwe nyaraka kuliko aliyezijusanya na kuzihariri na kuziweka kwenye kitabu kimoja na kukiita Biblia?
Ah ha haaaa! Naona umeanza kupanic dada!

Relax bhanaaa....!!

Tatizo lenu mkishakaa huko kwenye mafundisho yenu ya lutrujia ya katekisimu katoliki, hamsomi kabisa biblia bali mnajazana MAPOKEO ya kijinga na uzushi mtupu!

Usikimbie hoja yako! Ulisema WAKATOLIKI NDIO WAMEANDIKA BIBLIA...???!!!

SWALI langu lilikuwa jepesi tu dada, kama wakatoliki ndio unadai walioandoka biblia , hebu basi nitajie hata jina la mkatoliki mmoja, au papa, au cardinal au paroko, au padre au katekista au mtawa wa kikatoliki hata mmoja aliyeandika biblia???!!!

Au nitajie hata kitabu kimmoja ndani ya biblia kilichoandikwa na dhehebu la Roman katoliki?!

Naona unataka kugeuza hoja na kuridi kwenye hoja yangu niliyokwambia kuwa acha kupotosha watu hakuna kitabu hata kimoja kwenye biblia kilichoandikwa na dhehebu katoliki bali walichofanya wao ni kuvitafuta na kuvikusanya vitabu vya WAYAHUDI...! Kisha wakaviita BIBLIA...!!

Sasa unapoandika kwamba wakatoliki WAMEANDIKA BIBLIA NI UONGO NA UZUSHI WA KIWANGO CHA SGR...!!

Taja jina la MKATOLIKI aliyeandika biblia au KITABU (WARAKA) kwenye biblia kilichoandikwa na dhehebu katoliki????!!!!!
 
Back
Top Bottom