Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Unaelewa kanisa katoliki ni lipi?Kanisa Katoliki Ni ile ya zamani. Baada Roma empire kuingiza upagani na ibada ya sanamu kanisani, imesababisha kanisa hilo kuwa Msingi wa upotovu na ukahaba wa kiroho
Hapo toa wakatoliki weka walokole.Wasabato, wakatoliki na waislam wanaabudu wasichokijua
Ni lile linaloabudu sanamu ya Maria badala ya MunguUnaelewa kanisa katoliki ni lipi?
Kuna baadhi ya makanisa ya kilokole yamepoteza uelekeo kutokaña na tamaa ya wachangajiUsisahau na walokole
SureKuna baadhi ya makanisa yamepoteza uelekeo kutokaña na tamaa ya wachangiaji
Magomvi mi kazi ya Shetani Mungu hausikiHili nalo linathibitisha mungu mwenye upendo wote, ujuzi wote, na nguvu zote hayupo angekuepo asingekubali viumbe vyake vigombane vikisema sisi ni bora kuliko wengine.
Hawafanyi kazi kwa sababu ni siku maalumu kwao kumuabudu Mungu baada ya siku sita za kaziHakuna dini iliyo bora kuliko dini nyingine.hakuna dini itakayoingia mbinguni.mbinguni hakutakuwa na swali la "ulikuwa ukiabudu dini gani" wanaoabudu katika roho na kweli tu ndio watakao...
Ndicho ninachokisema walio wa Mungu Mungu huwatambua kwa maamuzi yao wanapokuwa katikati.Hawafanyi kazi kwa sababu ni siku maalumu kwao kumuabudu Mungu baada ya siku sita za kazi
Upo nyuma ya muda. Apo sijui mjinga ni nani.Jinga kabisa wewe, Wakatoliki ndo wenye imani yao na ndo baba wa madhehebu yote ya kikristo. Wao ndo waliotengeneza njia yenu wote alafu leo hii uniambie hawajui walichokitengeneza!!!?? Huko kwa manabii wenu mnalishwa ujinga mtupu.
Mwenyezi Mungu akuongoeWasabato, wakatoliki na waislam wanaabudu wasichokijua
Mzee me sitaki kuwapangia maisha lakn najaribu kuwaza kwa sauti,inakuaje kanisani jumamosi hio hio unaenda kutoa sadaka ili mchungaji aishi halafu ww hutak kuuza majiIshu kubwa hapa ni kukosa maji ungekuwa na maji usinge andika haya
Wewe ishi ukiamini misingi ya maisha uliyochagua kuishi ni sahihi na bora kwako
Ila haimaanishi waliyochagua wengine ikiwa haifanani na yako siyo sahihi