Naomba link ya DJ Mixer App nzuri kwa Android yenye uwezo wa kupanga BPM

Msaada wa kupata dj mixing application kwa Android, yenye uwezo mzuri wa kucheza kwa kutafuta BPM bila kukwama
1. DJay 2 Algoriddim ile ya kununua ndiyo nzuri zaidi ina features muhimu zaidi ambavyo ni sawa na vilivyopo kwenye software ya Serato DJ Pro na Mashine yenyewe hasa Turntable, ukiizoea kutumia hii app kumix vizuri kuja kujifunza mashine (DJ Controller) haitakua kazi kwako sababu ni ngumu kuitumia kwa mara ya kwanza ukiizoea nzuri sana...

2. Kuna Cross DJ ni nzuri sana na simple to use, vizuri upate crack yake Cross DJ Pro zipo cracked apks zake google..

Hizo 2 za uhakika zaidi kama unatumia Android au iOS. Before nimeanzia kwenye hizo apps huko nyuma 2015 hata Virtual DJ ya PC nilikua siipendi, ila msingi nilioupata kwenye hizo apps nlizokutajia ndiyo ulinifanya mpaka sasa natumia mashine (DJ Controllers) na softwares zote zinazohusu DJing hakuna inayonishinda..

Ila chaguo ni lako kuona ipi ni rafiki na easy kutumia...
 
Edj vipi
 
Ni nzuri pia ila waves zake hazijakaa poa labda kama wametoa update yenye mabadiriko ya waves.. Ila quality ya records zake sio nzuri na ina tabia ya kucrash. Kifupi iko complicated unlike hizo nilizokutajia ni easy kutumia hasa Cross DJ, vile vile YOUTUBE kuna videos nyingi zinafunza namna ya kutumia Cross DJ kuliko program yoyote ya u DJ kwa upande wa simu sababu ni nyepesi kuitumia na ina rekodi mixes za quality sana.. Nikikutumia mixtapes zangu za kitambo nilizowahi tengeneza na Cross DJ unaweza usiamini ukajua labda nmetengeneza kwa Virtual DJ au Mashine kabisa.
 
1. DJay 2 Algoriddim ile ya kununua ndiyo nzuri zaidi ina features muhimu zaidi ambavyo ni sawa na vilivyopo kwenye software ya Serato DJ Pro na Mashine yenyewe hasa Turntable, ukiizoea kutumia hii app kumix vizuri kuja kujifunza mashine (DJ Controller) haitakua kazi kwako sababu ni ngumu kuitumia kwa mara ya kwanza ukiizoea nzuri sana...

2. Kuna Cross DJ ni nzuri sana na simple to use, vizuri upate crack yake Cross DJ Pro zipo cracked apks zake google..

Hizo 2 za uhakika zaidi kama unatumia Android au iOS. Before nimeanzia kwenye hizo apps huko nyuma 2015 hata Virtual DJ ya PC nilikua siipendi, ila msingi nilioupata kwenye hizo apps nlizokutajia ndiyo ulinifanya mpaka sasa natumia mashine (DJ Controllers) na softwares zote zinazohusu DJing hakuna inayonishinda..

Ila chaguo ni lako kuona ipi ni rafiki na easy kutumia...
Asante sana kwa majibu mazuri naanza nazo.
 
Back
Top Bottom