Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Hizi hazimilikiwi na member yoyote humuBadoo,Hi5,
Hii ni yako mkuu
Ndio mkuuHoi ni yako mkuu
Nzuri nimeipendaPayguard secure....hoping for the best inaweza ikaja kupeak hapo mbeleni....huu ni mfumo wa malipo wenye escrow. Inawalenga wanunuzi na wauzaji wa vitu online.
Ukilipa kupitia Payguard secure, pesa ya mnunuzi inakuwa kwenye secure vault kwenye cloud. Pesa itamfikia muuzaji pale mnunuzi atakapokiri kupokea. Ni kama Paypal ya kibongo.
Currently intergrated na Airtel na tigo.....lets try it out.
View attachment 3072953
Safi nitaipakua
Ahsante mkuuSafi nitaipakua
SafiPayguard secure....hoping for the best inaweza ikaja kupeak hapo mbeleni....huu ni mfumo wa malipo wenye escrow. Inawalenga wanunuzi na wauzaji wa vitu online.
Ukilipa kupitia Payguard secure, pesa ya mnunuzi inakuwa kwenye secure vault kwenye cloud. Pesa itamfikia muuzaji pale mnunuzi atakapokiri kupokea. Ni kama Paypal ya kibongo.
Currently intergrated na Airtel na tigo.....lets try it out.
View attachment 3072953
Please support kwa kuipakua.....ningependa feedback toka kwako. Payguard secure. Inapatika app store na play storeHii nzuri
Safi
Nimeishainshaintall. Nita jiregister niione vema. Hii inaweza kuwa msaadPlease support kwa kuipakua.....ningependa feedback toka kwako. Payguard secure. Inapatika app store na play store
Ukifanikiwa kufanya register...kuna button ya lets chat utaiona pale..click tuchat kwaajili ma maelezo on how the platform worksNimeishainshaintall. Nita jiregister niione vema. Hii inaweza kuwa msaad
Hii lazima niijaribuMaktaba Sauti. Hii ni ya kusoma na kusikiliza vitabu vya kiswahili. Kusoma ni bure.
View attachment 3074765