Naomba list ya App ambazo zinamilikiwa na members wa jukwaa hili

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Kila siku tumekuwa tunajadili App zenye majina makubwa makubwa Leo nimekuja naomba list ya App ambazo zinamilikiwa na member wa jukwaa hili pengine zitatufaa zaidi kwa mahitaji yetu kuliko hizi ambazo zimekuwa popular
Nawakaribisha
 
Hizo hapo
 
Attachments

  • Screenshot_2024-08-17-13-47-34-337_com.android.vending.jpg
    Screenshot_2024-08-17-13-47-34-337_com.android.vending.jpg
    278.5 KB · Views: 15
Payguard secure....hoping for the best inaweza ikaja kupeak hapo mbeleni....huu ni mfumo wa malipo wenye escrow. Inawalenga wanunuzi na wauzaji wa vitu online.

Ukilipa kupitia Payguard secure, pesa ya mnunuzi inakuwa kwenye secure vault kwenye cloud. Pesa itamfikia muuzaji pale mnunuzi atakapokiri kupokea. Ni kama Paypal ya kibongo.

Currently intergrated na Airtel na tigo.....lets try it out.
Screenshot_2024-08-18-02-47-08-404_com.android.vending.jpg
 
Payguard secure....hoping for the best inaweza ikaja kupeak hapo mbeleni....huu ni mfumo wa malipo wenye escrow. Inawalenga wanunuzi na wauzaji wa vitu online.

Ukilipa kupitia Payguard secure, pesa ya mnunuzi inakuwa kwenye secure vault kwenye cloud. Pesa itamfikia muuzaji pale mnunuzi atakapokiri kupokea. Ni kama Paypal ya kibongo.

Currently intergrated na Airtel na tigo.....lets try it out.
View attachment 3072953
Nzuri nimeipenda
 
Hii nzuri

Safi
 
Back
Top Bottom