Naomba list ya mashamba makubwa ya mifugo na viwanda vya wawekezaji Tanzania

Naomba list ya mashamba makubwa ya mifugo na viwanda vya wawekezaji Tanzania

pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
879
Reaction score
618
Jamani kwa wale wa SUA naomba kuuliza Bachelor of Science in animal science inadili na nini hasa? Thanks
 
unapoteza muda labda ukawe mwl. Maana unasoma story 2 za wanyama
na jinsi ya kuwalea,ila hurusiwi na hautatakiwa hata kumtibu
 
Jamani kwa wale wa sua naomba kuuliza bachelor of science animal science inadili na nini hasa? Thanx

inahusika na uzalishaji wa mifugo: Inajumuisha mambo yafuatatyo, animal breeding and genetics, animal nutrition and physiology, range management, meat science and dairy technology/science!

maeneo ya ajira: kujiajiri kwa kuanzisha shamba la mifugo, kiwanda kidogo cha mazao ya maziwa, nyama n.k
kuajiriwa: wizara ya mifugo na uvuvi ndiye mwajiri mkuu katika nyanja zifuatazo; mtafiti mifugo, mkufunzi mifugo, maabara za vyakula vya mifugo, mashamba ya mifugo, viwanda vya nyama, maziwa , maafisa ugani mifugo nk
 
Jamani kwa wale wa sua naomba kuuliza bachelor of science animal science inadili na nini hasa? Thanx

karibu sana sua, ukitaja mifugo una maanisha fani ya sayansi ya wanyama. utakuwa katika idara ya ANIMAL SCIENCE AND PRODUCTION
 
unapoteza muda labda ukawe mwl. Maana unasoma story 2 za wanyama
na jinsi ya kuwalea,ila hurusiwi na hautatakiwa hata kumtibu

Nina bahati mbaya na majina haya ya sostenesS ! Kila mwenye jina hili ninayemfahamu ni mjinga!
 
Last edited by a moderator:
inahusika na uzalishaji wa mifugo: Inajumuisha mambo yafuatatyo, animal breeding and genetics, animal nutrition and physiology, range management, meat science and dairy technology/science!

Maeneo ya ajira: Kujiajiri kwa kuanzisha shamba la mifugo, kiwanda kidogo cha mazao ya maziwa, nyama n.k
kuajiriwa: Wizara ya mifugo na uvuvi ndiye mwajiri mkuu katika nyanja zifuatazo; mtafiti mifugo, mkufunzi mifugo, maabara za vyakula vya mifugo, mashamba ya mifugo, viwanda vya nyama, maziwa , maafisa ugani mifugo nk

nashukuru ndugu yangu. Maana kuna watu wanajua kupiga porojo tu humu.
 
nashukuru ndugu yangu. Maana kuna watu wanajua kupiga porojo tu humu.

karibu, dogo mimi nipo masters ya animal science, inalipa na ndiyo maana nadumisha mila.Lakini msuli ni muhimu hii shule haijatulia sana! kusup ni disco ni nje nje tu.
 
Back
Top Bottom