Naomba list ya mashamba makubwa ya mifugo na viwanda vya wawekezaji Tanzania

Naomba list ya mashamba makubwa ya mifugo na viwanda vya wawekezaji Tanzania

Wakuu,

Hatimaye nimemaliza hii course (animal science). Sasa nipo nimekamilisha maombi ya internship nchini Marekani I hope Mungu akijalia itaenda sawa. Kozi ni nzuri kulingana na perspective ya mtu.

Kwa wakati huu naomba msaada wa list ya mashamba makubwa ya mifugo na viwanda vya wawekezaji au wazawa nina uhitaji na taarifa hizo (kuna upungufu kidogo wa taarifa zao)Ok let’s go

1. Silverlands
2. Mbogo borah (highland estates)
3...
 
Back
Top Bottom