Naomba list ya mashamba makubwa ya mifugo na viwanda vya wawekezaji Tanzania

Jamani kwa wale wa sua naomba kuuliza bachelor of science animal science inadili na nini hasa? Thanx
Kwanza hongera kwa kuchaguliwa chuo na kozi nzuri.Kwani SUA hakuna kozi isikuwa na future hatamoja kitu cha msingi ni kukaza katika kusoma unapokuwa chuo,nakuhusu swala la ajira kozi ni rahisi sana kujiajiri na pia unaweza kuajiriwa katika viwannda vya maziwa,nyama,ngozi na vyakula vya mifugo.NAKUTAKIA MASOMO MEMA
 
Animal science kwanza haipo kwenye faucult za mifugo mpaka sasa,ipo ndani ya facult ya agriculture,na hata sheria ya mifugo tanzania na kimataifa hawa watu hawatambuliki kama ni watu wa mifugo na kwakweli ukitaka kuona unapoteza muda watafute waliosoma hii degree utachoka,hawana uelekeo hata kama wapo kwenye ajila kati ya 10 basi mmoja tena aotee kitengo,usipo pata dili la kuwa mwalimu Utaajiriwa halmashauri tena utakuwa kam2 ka kuzuga zuga 2 na katapeli kwa huna utakalo lijua kwenye mifugo hata ukamshauri mkulima,tanzania hakuna viwanda vya maziwa wala ngozi vya kukufanya ufurahie hyo fani,hata kumtibu kuku hauruhusiwi kisheria,hela kwenye mifugo upatikana kwa kutibu na kufanya inspection mbalimbali na wanaruhusiwa kufanya hvyo ni BVM'S NA WADOGO
ZAKE DIPLOMA IN ANIMAL HEALTH NA CERTFICATES WA ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION NA NDIO MAANA KUNA CHAMA CHA TVA, NA CHA WAZARISHAJI,na kwa taarifa yako ni bora ukasoma diploma ya animal health au hata cheti kuliko hyo fani,nakuonea huruma kwani unamatumaini makubwa mno
 
kwani sua kuna facult ya mifugo??? nadhani hii post yako ni UONGO mtupu na utampotosha mtoa mada!!!
 
inawezekana ujui pia mifugo NI nini kilaza,unapoambiwa veternary inajumuisha BVM NA KIDOGOO BIOTECHNOLOGY,ANIMAL SCIENCE NI PATI YA EXTENSION KWA VITENGO VYA KIKAZI SISI TUNAWAITA MAMLUKI NA WAIMBA NGONJERA KWA WAKULIMA NA SIO TECHNITIANS WA MIFUGO
 
inawezekana ujui pia mifugo NI nini kilaza,unapoambiwa veternary inajumuisha BVM NA KIDOGOO BIOTECHNOLOGY,ANIMAL SCIENCE NI PATI YA EXTENSION KWA VITENGO VYA KIKAZI SISI TUNAWAITA MAMLUKI NA WAIMBA NGONJERA KWA WAKULIMA NA SIO TECHNITIANS WA MIFUGO,kafungue web ya sua alafu tafuta animal science maana yake ni nini
 
inawezekana ujui pia mifugo ni nini kilaza,unapoambiwa veternary inajumuisha bvm na kidogoo biotechnology,animal science ni pati ya extension kwa vitengo vya kikazi sisi tunawaita mamluki na waimba ngonjera kwa wakulima na sio technitians wa mifugo,kafungue web ya sua alafu tafuta animal science maana yake ni nini
kwa hiyo kwa pale sua nje na bvm, kozi ipi ipo kwenye market? Nipe ushauri kwa hilo pia
 
Kujiajiri ndio haiwezekani kabisaa
kwanini kujiajiri haiwezekani? Tanzania ikiwa ni ya tatu kwa wingi wa mifugo Afrika, mahitaji ya vyakula vya mifugo ni makubwa sana Opportunity namba moja, Mifugo mingi ya Tanzania inakufa hasa wakati wa kiangazi kwa kukosa malisho, soko la kilimo cha nyasi ni kubwa sana pia kuna mahitaji ya HAY kwa mataifa ya nje, Opportunity namba 2, Tanzania kuna soko kubwa la nyama ya kuku kuliko hali halisi ya uzalishaji hapa nchini, kuna ajira kubwa hapa ya kuzalisha vifaranga kwa ajili ya kuwauzia wafugaji wengi wanaovutiwa na soko lililopo, sambamba na hilo ANIMAL SCIENTIST anaweza akajiajiri kwa kuanzisha meat, milk and eggs processing plant. Kuna opportunity nyingi mno. Ukimwona animal scientists analia mtaani ni tatizo la mtu binafsi na si taaluma!
 
Kwa Tanzania bado tuna upungufu wa Madaktari wabobezi wa wanyama.
 
madaktari wabobezi wa mifupa, meno ya ng'ombe or moyo? wa kazi gani? elimu hata ya cheti tu inatosha kutibu mnyama, akiendelea kuumwa achinjwe kuepusha gharama ambazo siyo muhimu
 
Animal science kwanza haipo kwenye faucult za mifugo mpaka sasa,ipo ndani ya facult ya agriculture,na hata sheria ya mifugo tanzania na kimataifa hawa watu hawatambuliki kama ni watu wa mifugo na kwakweli ukitaka kuona unapoteza muda watafute waliosoma hii degree utachoka,hawana uelekeo hata kama wapo kwenye ajila kati ya 10 basi mmoja tena aotee kitengo,usipo pata dili la kuwa mwalimu Utaajiriwa halmashauri tena utakuwa kam2 ka kuzuga zuga 2 na katapeli kwa huna utakalo lijua kwenye mifugo hata ukamshauri mkulima,tanzania hakuna viwanda vya maziwa wala ngozi vya kukufanya ufurahie hyo fani,hata kumtibu kuku hauruhusiwi kisheria,hela kwenye mifugo upatikana kwa kutibu na kufanya inspection mbalimbali na wanaruhusiwa kufanya hvyo ni BVM'S NA WADOGO
ZAKE DIPLOMA IN ANIMAL HEALTH NA CERTFICATES WA ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION NA NDIO MAANA KUNA CHAMA CHA TVA, NA CHA WAZARISHAJI,na kwa taarifa yako ni bora ukasoma diploma ya animal health au hata cheti kuliko hyo fani,nakuonea huruma kwani unamatumaini makubwa mno
Vizuri mkuu, animal health and production ndo kila kitu
 
Hayo ndo majibu sasa na huo ndo ukwel animal science ni course useless kwa mtu anayetoka chuo labda uwe na mtaji utengeneze kiwanda cha maziwa n.k ila pesa za mitaan nyingi zinapatikana kwa kutibu na sio ushaur wa ipi mbegu bora ya mnyama au umpe chakula gan mkulima atakutetemekea mnyama akiumwa ili umponye

Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom