Naomba list ya mashamba makubwa ya mifugo na viwanda vya wawekezaji Tanzania

Naomba list ya mashamba makubwa ya mifugo na viwanda vya wawekezaji Tanzania

inawezekana ujui pia mifugo NI nini kilaza,unapoambiwa veternary inajumuisha BVM NA KIDOGOO BIOTECHNOLOGY,ANIMAL SCIENCE NI PATI YA EXTENSION KWA VITENGO VYA KIKAZI SISI TUNAWAITA MAMLUKI NA WAIMBA NGONJERA KWA WAKULIMA NA SIO TECHNITIANS WA MIFUGO
Nakubaliana na ww ila punguza ukali wa maneno hawa jamaa ni wapiga porojo

Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
 
Hayo ndo majibu sasa na huo ndo ukwel animal science ni course useless kwa mtu anayetoka chuo labda uwe na mtaji utengeneze kiwanda cha maziwa n.k ila pesa za mitaan nyingi zinapatikana kwa kutibu na sio ushaur wa ipi mbegu bora ya mnyama au umpe chakula gan mkulima atakutetemekea mnyama akiumwa ili umponye

Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
tatizo lenu hamuelewi hata mnachokizungumza! niwapeni pole!
 
Nakubaliana na ww ila punguza ukali wa maneno hawa jamaa ni wapiga porojo

Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
nikusaidie kidogo tu, naomba utafuete katika internet maana ya animal science, ukipata ndiyo mrudi hapa!
 
madaktari wabobezi wa mifupa, meno ya ng'ombe or moyo? wa kazi gani? elimu hata ya cheti tu inatosha kutibu mnyama, akiendelea kuumwa achinjwe kuepusha gharama ambazo siyo muhimu
Hahaha hahaha daaa we jamaa sio mtu mzurii nnnhhh

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
unapoteza muda labda ukawe mwl. Maana unasoma story 2 za wanyama
na jinsi ya kuwalea,ila hurusiwi na hautatakiwa hata kumtibu
animal scientist siyo tabibu wa mifugo, kwa hiyo hawezi kutibu provided anataka au hataki; anayomajukumu mengine makubwa sana katika tasnia ya mifugo mfano; animal scientist anaweza kufanya kazi zifuatazo 1. animal feed processor - atajiajiri au ataajiriwa na viwanda vya kutengeneza vyakula vya mifugo 2. animal nutritionist - mshauri mkuu wa lishe ya wanyama kwa afya bora za wanyama mfano wale nini na kwa wakati gani. hii ni muhimu sana kuongeza uzalishaji bora na salama wa maziwa, nyama na mayai na kwa bei nafuu pia 3. animal breeder and genetist - hii inahusika na viini tete kuunda mnyama anayekuwa upesi, kutoa nyama, maziwa au mayai kwa wingi zaidi na pia wanyama watakao himili magonjwa na uhaba wa chakula na maji huku wakizalisha nyama, maziwa na mayai kama kawaida, 4. pasture and range scientist 5. food scientist and technologist (milk and meat, eggs and their products)
 
Bwana ee uzi umeanzishwa 2013 leo ni 2018 muanzisha mada keshaajiriwa tufunge mjadala?

Kozi hii ni miaka mi3.
 
Nipo jamani, dogo aligraduate 2016 na amefaulu vizuri tu kea Gpa ya 3.7 ila ajira hakuna. Hii ni changamoto,kwa kada zote ni kutokana na sera za awamu ya 5. Kama walimu tu wanasota, kilimo je?
Hali tete kwa wote.
Dogo nimempa mtaji, anafanya ujasiriamali wa kufuga. Huku akisubiri wenye nchi watoe ajira.
 
Nipo jamani, dogo aligraduate 2016 na amefaulu vizuri tu kea Gpa ya 3.7 ila ajira hakuna. Hii ni changamoto,kwa kada zote ni kutokana na sera za awamu ya 5. Kama walimu tu wanasota, kilimo je?
Hali tete kwa wote.
Dogo nimempa mtaji, anafanya ujasiriamali wa kufuga. Huku akisubiri wenye nchi watoe ajira.
Vizuri
 
Mkiambiwa mnakuwa wabishi Sua ni Chuo kizur ila hzi Koz sio nzur japo zpo pale

Animal science
Biotechnology and laboratory science
Family consumer
 
Mambo siku hizi yamebadilika kabisa

Unaweza ukasoma na bado ajira usipate kabisa
 
Animal science ni pasua kichwa,hapo mwenye nafuu ni aliyesoma diploma ya animal health
 
Back
Top Bottom