Naomba ma-IT wa kibongo wazindue whatsapp na facebook za kibongo

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,814
Reaction score
2,738
Habari zenu wakuu
NImefuatilia utendaji wa facebook hasa kwa wajasiriamali na mwinga ukisponsor ads ,hupati traffic na leads za kutosha kama miaka nilipoanza kusponsor mwka 2016 hadi 2020.

Pia naona hata whatsapp business wanlimit mnoo idadi ya wateja kuwasiliana nao. unakuta ukifoward wateja 80 ,wanaban hadi masaa 24 yapite.

Binafsi naamini uwezo wa ma-IT wetu ,wakiamua. Kuna mabenki meni Tanzania wanatumia banking system za ma-IT wa kibongo .
Kila kitu kina changamoto. USA wamefeli sana kurusha satelite kabla hawajakaa sawa.Muda wa kuzindua Whatsapp na facebook za kibongo na kutuwekea bei ambayo mtapata faida. Wafanyabiashara tunawekeza chochote kinachookoa muda au kuongeza mapato.

JF-umofia kwenu
 
Si kweli kwamba wataalamu wa IT wa Tanzania wameshindwa kwa sababu hawana uwezo. Tatizo kubwa ni kwamba kutengeneza app kama WhatsApp au Facebook ni jambo tofauti kabisa na kutengeneza programu ya kawaida.

Sababu kuu ni hizi:

  • Mtaji mkubwa sana. WhatsApp na Facebook zimewekeza mabilioni ya dola kwa miaka mingi kwenye seva, usalama, wataalamu na miundombinu.
  • Idadi ya watumiaji (network effect). Watu hutumia WhatsApp kwa sababu marafiki, familia na biashara zao tayari wako huko. Hata ukitengeneza app nzuri, ni vigumu kuwashawishi mamilioni ya watu wahame. Hili ndilo changamoto kubwa hata kwa makampuni makubwa.
  • Uwekezaji na soko. Startup nyingi za teknolojia Tanzania hupata fedha chache ukilinganisha na Marekani, China au India, hivyo ni vigumu kujenga bidhaa za kiwango cha dunia.
  • Miundombinu. App kubwa zinahitaji seva nyingi duniani, usalama wa hali ya juu, na timu zinazofanya kazi saa 24.
  • Changamoto ya biashara. Kutengeneza app ni hatua ya kwanza tu. Changamoto kubwa ni kuipata kwa watumiaji wengi na kuifanya iendelee kuingiza mapato.

Hata hivyo, Tanzania ina wataalamu wazuri wa IT. Wengi hutengeneza mifumo ya benki, malipo, hospitali, shule, biashara na huduma za serikali. Pia kuna programu na majukwaa yaliyotengenezwa Afrika, lakini mengi hushindwa kushindana na WhatsApp au Facebook kwa sababu ya nguvu ya soko na idadi ya watumiaji waliokwisha kujenga.

Kwa hiyo, suala si ukosefu wa akili au ujuzi wa Watanzania. Mara nyingi ni mtaji, uwekezaji, ukubwa wa soko, na ushindani wa kimataifa.
 
Kufanya hayo sio lazima uwe IT, wewe wape kazi
napenda mijadala mipana ya mabadiliko, sipendi hali niloikuta nazaliwa ,nife iko hivo hivo hasa level ya familia. NIShatoa kazi,watuletee mpango kazi
 
Vijana wana project nzuri kwenye computer zao changamoto ni capital watu wengi mnaangaliaga output pasipokujua investment behind angalia kitu kama jamii forum investment behind sio mchezo plus ajira za watu angalia kitu kama bolt kuinstall app kwenye simu kwa user ni easy ila behind hiyo app kuna uwekezaji mkubwa mixer marketing bills kubwa sana ,angalia hata mifumo ya serikali inavyokula mabillions
 
Instagram kwa sasa wanajeuri kwa sababu wamekosa mpinzani hada ticktock wangekuwq vizururi tungehamia huko, kwa sasa wamekuwa majeuri haswa wanafunga funga account hovyo na ukifungiwa moja wanafunga zote hata ukifungua mpya hadi ubadili sim hawa jamii forum nao wamelala kuna kipindi niliwashauri watengeneze kitu kinaitwa sponsored ads mtu akifungua uzi anaiutana na tangazo tungepiga hela sana ila wamelala mait wa kibongo ni mavi matupu
 
Si kweli kwamba wataalamu wa IT wa Tanzania wameshindwa kwa sababu hawana uwezo. Tatizo kubwa ni kwamba kutengeneza app kama WhatsApp au Facebook ni jambo tofauti kabisa na kutengeneza programu ya kawaida.

Sababu kuu ni hizi:

  • Mtaji mkubwa sana. WhatsApp na Facebook zimewekeza mabilioni ya dola kwa miaka mingi kwenye seva, usalama, wataalamu na miundombinu.
  • Idadi ya watumiaji (network effect). Watu hutumia WhatsApp kwa sababu marafiki, familia na biashara zao tayari wako huko. Hata ukitengeneza app nzuri, ni vigumu kuwashawishi mamilioni ya watu wahame. Hili ndilo changamoto kubwa hata kwa makampuni makubwa.
  • Uwekezaji na soko. Startup nyingi za teknolojia Tanzania hupata fedha chache ukilinganisha na Marekani, China au India, hivyo ni vigumu kujenga bidhaa za kiwango cha dunia.
  • Miundombinu. App kubwa zinahitaji seva nyingi duniani, usalama wa hali ya juu, na timu zinazofanya kazi saa 24.
  • Changamoto ya biashara. Kutengeneza app ni hatua ya kwanza tu. Changamoto kubwa ni kuipata kwa watumiaji wengi na kuifanya iendelee kuingiza mapato.

Hata hivyo, Tanzania ina wataalamu wazuri wa IT. Wengi hutengeneza mifumo ya benki, malipo, hospitali, shule, biashara na huduma za serikali. Pia kuna programu na majukwaa yaliyotengenezwa Afrika, lakini mengi hushindwa kushindana na WhatsApp au Facebook kwa sababu ya nguvu ya soko na idadi ya watumiaji waliokwisha kujenga.

Kwa hiyo, suala si ukosefu wa akili au ujuzi wa Watanzania. Mara nyingi ni mtaji, uwekezaji, ukubwa wa soko, na ushindani wa kimataifa.
Ai
 
Habari zenu wakuu
NImefuatilia utendaji wa facebook hasa kwa wajasiriamali na mwinga ukisponsor ads ,hupati traffic na leads za kutosha kama miaka nilipoanza kusponsor mwka 2016 hadi 2020.

Pia naona hata whatsapp business wanlimit mnoo idadi ya wateja kuwasiliana nao. unakuta ukifoward wateja 80 ,wanaban hadi masaa 24 yapite.

Binafsi naamini uwezo wa ma-IT wetu ,wakiamua. Kuna mabenki meni Tanzania wanatumia banking system za ma-IT wa kibongo .
Kila kitu kina changamoto. USA wamefeli sana kurusha satelite kabla hawajakaa sawa.Muda wa kuzindua Whatsapp na facebook za kibongo na kutuwekea bei ambayo mtapata faida. Wafanyabiashara tunawekeza chochote kinachookoa muda au kuongeza mapato.

JF-umofia kwenu

Watapiga hela Sana. Kama Jamii Forum ingeenda International huyu Mexence Mello angekuwa Bilionea Mkubwa Sana zaidi ya hata kina Mack Zucker
 
Ngoja waje madevelopa waje kutupa maelezo mkuu.
Wanakuja.Kule Insta ua ubepari pc, nimeona bato za vijana kuhusu sayansi, ni ishara kuna vipaji vinaweza kuendelezwa,tukazalisha vingi ndani na kupunguza uagizaji nje ,kama mawazo ya Dangote anavoishauri Africa
 
Back
Top Bottom