Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,814
- 2,738
- Thread starter
- #21
Ukiangalia watu wa Iringa wanavobuni vyanzo vya umeme n.k. Nchi hii ina wabunifu kibao
Ivi hii company Iko mpaka Leo ? .Unaikumbuka hii ya kibongo todaysky social network? 🤔
Umeongea kitu aisee, jamaa majeuri, wakila account Moja zinaenda zote, wanafungia device ID, kama sio kubadlisha simu labda utumie advanced app cloner inayoweza kufanya spoofing na kutengeneza new device IDInstagram kwa sasa wanajeuri kwa sababu wamekosa mpinzani hada ticktock wangekuwq vizururi tungehamia huko, kwa sasa wamekuwa majeuri haswa wanafunga funga account hovyo na ukifungiwa moja wanafunga zote hata ukifungua mpya hadi ubadili sim hawa jamii forum nao wamelala kuna kipindi niliwashauri watengeneze kitu kinaitwa sponsored ads mtu akifungua uzi anaiutana na tangazo tungepiga hela sana ila wamelala mait wa kibongo ni mavi matupu
Kama unaamini social media za wamarekani zina usalama basi huzielewi vizuri. Na pia ujiulize kwa nini TIKTOK (Marekani) wakati inaendeshwa na Mchina ilipigwa vita vikali hadi kutishiwa kufungwa na hatimae kulazimishwa kuwauzia wamarekani?Mwenye akili timamu kichwani hawezi kuacha kutumia bidhaa ya marekani ili atumie bidhaa ya bongo.
Ni sawa na kuweka usalama wako rehani
Naona JF Regional Communities inakuja karibuni...Watapiga hela Sana. Kama Jamii Forum ingeenda International huyu Mexence Mello angekuwa Bilionea Mkubwa Sana zaidi ya hata kina Mack Zucker
Miaka ya nyuma walikuwa na tangazo la chip sijui sikumbuki vzrInstagram kwa sasa wanajeuri kwa sababu wamekosa mpinzani hada ticktock wangekuwq vizururi tungehamia huko, kwa sasa wamekuwa majeuri haswa wanafunga funga account hovyo na ukifungiwa moja wanafunga zote hata ukifungua mpya hadi ubadili sim hawa jamii forum nao wamelala kuna kipindi niliwashauri watengeneze kitu kinaitwa sponsored ads mtu akifungua uzi anaiutana na tangazo tungepiga hela sana ila wamelala mait wa kibongo ni mavi matupu