Naomba maelezo zaidi kuhusu mtandao wa haloteli.

Naomba maelezo zaidi kuhusu mtandao wa haloteli.

under timer

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2021
Posts
389
Reaction score
595
Uku niliko mitandao mingine imekuwa tabu sana ninafanya mawasiliano network inakuwa chini mno
Isipokuwa halotel sasa juzi nimesajili haloteli na kiufupi iko vizuri. Lakn kuna mdau akanambia ningesajili laini ya chuo coz ina ofa kabambe mf: yeye hupewa 3000Tsh kila mwanzo wa mwezi. Je hii ni kweli na ni kwanini au ni mikopo utakayolipa hapo badae?
 
ningesajili laini ya chuo coz ina ofa kabambe mf: yeye hupewa 3000Tsh
Hiyo ni kweli. Kupitia menu ya *148*66# kwa kifurushi cha 2000 unapata GB 2.5 kwa wiki. Itoshe kusema offer ni nyingi.

NB: Sifanyi promotion za mitandao
 
Back
Top Bottom