Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Gentleman,Pendekezo jipya la Serikali ya Tanzania kuruhusu kukopa moja kwa moja kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) limezua mjadala mkali. Serikali inasema hatua hiyo itasaidia kukabiliana haraka na upungufu wa mapato unaotokana na matukio yasiyotegemewa.
Hata hivyo, wakosoaji wanaibua maswali muhimu: Nani ataamua kuwepo kwa dharura? Kiasi cha mkopo kitakuwa kipi? Na je, uhuru wa Benki Kuu utaendelea kulindwa ikiwa itakuwa pia mkopeshaji wa Serikali?
Kwani shida ni nini?Pendekezo jipya la Serikali ya Tanzania kuruhusu kukopa moja kwa moja kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) limezua mjadala mkali. Serikali inasema hatua hiyo itasaidia kukabiliana haraka na upungufu wa mapato unaotokana na matukio yasiyotegemewa.
Hata hivyo, wakosoaji wanaibua maswali muhimu: Nani ataamua kuwepo kwa dharura? Kiasi cha mkopo kitakuwa kipi? Na je, uhuru wa Benki Kuu utaendelea kulindwa ikiwa itakuwa pia mkopeshaji wa Serikali?
Dah Sema angalau muwe mnapewa hata elimu kidogo mnapokuja kujibu baadhi ya mada.Kwani shida ni nini?
Nyie chadomo mbona mna kidomodomo sana. Kwani pesa iliyoko benki kuu si ni ya serikali?
Tungeweza hata kuichota tu na hakuna mtu— iwe chadomo au nani angeweza kuleta nywi nywi nywi