Naomba makadirio ya fedha ujenzi wa nyumba hii

Naomba makadirio ya fedha ujenzi wa nyumba hii

Hamritzer

Member
Joined
Nov 8, 2021
Posts
31
Reaction score
30
Kiasi gani cha fedha kinahitajika hapa, kukamilisha ujenzi nyumba kama hii

OLOTU 01(1).jpg
 
Ngoja wababa/wamama wenye nyumba waje. Hii haituhusu wapangaji
 
Kuna jamaa humu alifundisha namna ya kufanya makadirio ya ujenzi hatua kwa hatua ila ule uzi siukumbuki ulikuwa na title gani
 
Haujaonesha hiyo nyumba ina Vyumba vingapi


Ila nami nimejenga kama hiyo lakini ina Vyumba 4 self, Jiko, sehemu ya kusomea, laundry, dining, seating Kwa 157M

Japo gharama zinategemea na mahali site ilipo
 
Back
Top Bottom