H Hamritzer Member Joined Nov 8, 2021 Posts 31 Reaction score 30 Dec 6, 2024 #1 Kiasi gani cha fedha kinahitajika hapa, kukamilisha ujenzi nyumba kama hii
Gatabhanya JF-Expert Member Joined Nov 16, 2024 Posts 2,644 Reaction score 5,178 Dec 6, 2024 #3 Imekaa poa
L Lodilofah JF-Expert Member Joined Dec 22, 2015 Posts 403 Reaction score 1,039 Dec 6, 2024 #4 Ngoja wababa/wamama wenye nyumba waje. Hii haituhusu wapangaji
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Dec 6, 2024 #5 Kuna jamaa humu alifundisha namna ya kufanya makadirio ya ujenzi hatua kwa hatua ila ule uzi siukumbuki ulikuwa na title gani
Kuna jamaa humu alifundisha namna ya kufanya makadirio ya ujenzi hatua kwa hatua ila ule uzi siukumbuki ulikuwa na title gani
Tony Cipriano JF-Expert Member Joined Nov 17, 2022 Posts 2,139 Reaction score 5,109 Dec 6, 2024 #6 Hamritzer said: Kiasi gani cha fedha kinahitajika hapa, kukamilisha ujenzi nyumba hii Click to expand... Weka floor plan hiyo picha haitoshi kufanya makadirio
Hamritzer said: Kiasi gani cha fedha kinahitajika hapa, kukamilisha ujenzi nyumba hii Click to expand... Weka floor plan hiyo picha haitoshi kufanya makadirio
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 16,096 Reaction score 49,651 Dec 6, 2024 #7 Haujaonesha hiyo nyumba ina Vyumba vingapi Ila nami nimejenga kama hiyo lakini ina Vyumba 4 self, Jiko, sehemu ya kusomea, laundry, dining, seating Kwa 157M Japo gharama zinategemea na mahali site ilipo
Haujaonesha hiyo nyumba ina Vyumba vingapi Ila nami nimejenga kama hiyo lakini ina Vyumba 4 self, Jiko, sehemu ya kusomea, laundry, dining, seating Kwa 157M Japo gharama zinategemea na mahali site ilipo
dikir kab can JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 1,499 Reaction score 2,667 Dec 6, 2024 #8 Faana said: Kuna jamaa humu alifundisha namna ya kufanya makadirio ya ujenzi hatua kwa hatua ila ule uzi siukumbuki ulikuwa na title gani Click to expand... Njuka II
Faana said: Kuna jamaa humu alifundisha namna ya kufanya makadirio ya ujenzi hatua kwa hatua ila ule uzi siukumbuki ulikuwa na title gani Click to expand... Njuka II