Naomba maoni kuhusu biashara ya nafaka Dar es Salaam

Dutta

Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
45
Reaction score
28
Wadau ninamtaji wa mil 9 ambazo nimezipata kwenye uchimbaji wa dhahabu. Ila nahofia kizirudisha kwenye uchimbaji maana ni kazi ya bahati.

Natamani sana kufanya biashara ya nafaka dar, ila sina uzoefu. na yalikuwa matamanio yangu ya mda mrefu kufanya hii biashara.

Tadhari mwenye uzoefu anisaidie.
 
Kwanini Dar? Biashara Yako unapenda iwe katika muundo gani?

Je unataka ya jumla au rejaleja?
Je unapenda uwe na meza kati kamojawapo yamasoko makubwa kama vile Tandale au kariako?
Au unapenda upate frame salasala?
 
Wadau ninamtaji wa mil 9 ambazo nimezipata kwenye uchimbaji wa dhahabu,
Ila nahofia kizirudisha kwenye uchimbaji maana ni kazi ya bahati.
Natamani sana kufanya biashara ya nafaka dar, ila sina uzoefu. na yalikuwa matamanio yangu ya mda mrefu kufanya hii biashara.
Tadhari mwenye uzoefu anisaidie.
JF kuna wataalam wa kila nyanja.....
Ngoja, wanakuja....
Still tune..👍🏽
 
Kila la heri mkuu, ila nadhani ungetenga muda ukatembelee masoko. Huko huko utapata wa kupiga nae stori juu ya hio idea yako. Ila kuwa makini
 
Toka katika uchimbaji na kuwa Mnunuzi na kisha uuze au biashara hii imekufa?
 
Wadau ninamtaji wa mil 9 ambazo nimezipata kwenye uchimbaji wa dhahabu,
Ila nahofia kizirudisha kwenye uchimbaji maana ni kazi ya bahati.

Natamani sana kufanya biashara ya nafaka dar, ila sina uzoefu. na yalikuwa matamanio yangu ya mda mrefu kufanya hii biashara.

Tadhari mwenye uzoefu anisaidie.

Nafaka ni biashara pasua kichwa….faida ndogo + slow turnovers ukicheck una gharama za pango, kulipa mfanya kazi, na gharama za kusafirisha. Kama unataka unataka kufanya biashara ya chakula fungua genge….hela ipo kwenye genge.

Sokoni vitu bei chee ukija ushuani au sehem za makazi unauza hata double the price (fatilia utanikumbuka yet mtaji wake mdogo tu i.e. pango ya frame au kutengeneza banda)

Kikubwa anza kdgo kdgo usiweke mzigo mkubwa wa kuharibika na kama ukiweka mzigo mkubwa uza very fair prices ili uwahi maliza kesho ulete stock mpya na ku attract wateja kuwa mbunifu tu na genge lako lionekane la kishua / lenye utofauti.

Nafaka for me is a No, Duka La Mangi nalo No, Kama hutaki kuchafuka nunua gari used fanya uber na ukomae mwenyewe.

Kwenye kutafuta mshipa wa noma weka pembeni kabisa maana aibu ya umasikini na fedheha ni kubwa sana kuliko aibu ya kutafuta.

Mtazamo Wangu Tu. Ahsante
 
Mleta uzi..upo wapi kwa sasa ni kishauri kitu kabla hujafika dsm.?

Pia ni aina zipi za nafaka unazotaka deal nazo hasa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa sasa niko kahama
Nafaka zote kwa dsm zinahitajika.

Ila nakushauri deal na nafaka ambazo zinawalaji wengi.

Hasa mahindi..mchele..maharage na karanga.

Kwasasa sembe ni 1450/=
Karanga 2800 hadi 3000/=

Inshu kubwa huwa ni gharama za usafirishaji..soko la uhakika lipo.

Kwa hyo ni bora kuchukua nafaka mkoani na kupeleka dar kuuza kwa jumla na siyo kufungua duka la nafaka
 
Mkuu Mimi nakushauri kwanini usiwekweze kwenye Dhahabu?
 
Nafaka ni biashara pasua kichwa….faida ndogo + slow turnovers ukicheck una gharama za pango, kulipa mfanya kazi, na gharama za kusafirisha. Kama unataka unataka kufanya biashara ya chakula fungua genge….hela ipo kwenye genge.

Sokoni vitu bei chee ukija ushuani au sehem za makazi unauza hata double the price (fatilia utanikumbuka yet mtaji wake mdogo tu i.e. pango ya frame au kutengeneza banda)

Kikubwa anza kdgo kdgo usiweke mzigo mkubwa wa kuharibika na kama ukiweka mzigo mkubwa uza very fair prices ili uwahi maliza kesho ulete stock mpya na ku attract wateja kuwa mbunifu tu na genge lako lionekane la kishua / lenye utofauti.

Nafaka for me is a No, Duka La Mangi nalo No, Kama hutaki kuchafuka nunua gari used fanya uber na ukomae mwenyewe.

Kwenye kutafuta mshipa wa noma weka pembeni kabisa maana aibu ya umasikini na fedheha ni kubwa sana kuliko aibu ya kutafuta.

Mtazamo Wangu Tu. Ahsante

Uber si wameondoka bongo? Bolt nao nasikia wapo mbioni kuondoka pia.
 
Back
Top Bottom