Dutta
Member
- Mar 16, 2015
- 45
- 28
Wadau ninamtaji wa mil 9 ambazo nimezipata kwenye uchimbaji wa dhahabu. Ila nahofia kizirudisha kwenye uchimbaji maana ni kazi ya bahati.
Natamani sana kufanya biashara ya nafaka dar, ila sina uzoefu. na yalikuwa matamanio yangu ya mda mrefu kufanya hii biashara.
Tadhari mwenye uzoefu anisaidie.
Natamani sana kufanya biashara ya nafaka dar, ila sina uzoefu. na yalikuwa matamanio yangu ya mda mrefu kufanya hii biashara.
Tadhari mwenye uzoefu anisaidie.