mambo ya nyakati
Senior Member
- Aug 24, 2022
- 115
- 146
Ushauri
Wakuu kwasasa mwaka na nusu ninamahusiano nahuyu mwanamke, kwasasa kwao baadhi wananijua, yeye anang'ang'ania tuishi wote nimuoe, ninachojiuliza hivi inawezkana kweli kwasababu amenipita miaka 9 huyu mwanamke na ndugu zake hawasemi wamekaa kimya tu. Yeye ana mika 32 kwasasa kanipita miaka 9, yeye anamtoto mmoja wa miaka 8
Mimi sina. Na kila akinikosea mbona huwa naumia mimi kuna siku nilijikuta nalia tuuh ndani siku nzima kisa aliniudhi nikamwambia tuachane, akasema sawa Moyo ukawa unaniuma sana
Hivi hapa nikiweka mwili na roho nitakuwa najidanganya au niishi nae tuuh
Maoni yenu.