Ushauli
Wakuu kwasasa mwaka na nusu ninamahusiano nahuyu mwanamke,
kwasasa kwao baadh wananijua, yeye anangangania tuishi wote nimuoe, ninachojiuliza hivi inawezkana kweli kwasababu amenipita miaka 9 huyu mwanamke na ndugu zake hawasemi wamekaa kmy tuuh
Yeye ana mika 32 kwasasa kanipita mika 9, yeye anamtoto mmoja wa miaka 8
Mimi sina.
Na kila akinikosea mbona huwa naumia mimi kuna siku nilijikuta nalia tuuh ndani siku nzima kisa aliniudhi nikamwambia tuachane, akasema sawa Moyo ukawa unaniuma sana
Hivi hapa nikiweka mwili na roho ntakuwa najidanganya au niishi nae tuuh
Maoni yenu.