Naomba maoni yenu huyu mwanamke ananiumiza sana

Haya yote ni mambo ya nyakati kama jina lako 22yrs unaoa namba A mtu wa 32yrs wakati kuna namba mabinti namba E mtaani 😂😂 au unapenda kuwa kiben ten
Miaka 22 bado akili haijakomaa ni kijana anahitaji muongozo tu, na usikute amesharogwa na huyo mwanamke maana graph yake hapo hot Kwa umri wake ingawa siyo wote.
 
Muoe acha utoto.Utakuwa unamuita auntie.
 
Kwa nini mnapenda kupotosha vijana badala ya kuwapa muongozo?

Huyo mwanamke siyo rika lake, Pili ana mume wake, watu wa rika lake wamejaa kibao na wanatafuta wenza, si vyema kumpotosha mtu kwenye vitu sensitive.
Wapi amesema mwanamke ameolewa au anamume ? ninachosema mimi ikiwa anampenda na amekubali na anaishi nae ndoa itapunguza nini?
 
Limbwata, wanawake waliozalishwa na kuachwa wengi wao wana amini kwenye kuroga ili kumuendesha mwanaume atoe pesa za kumlea mwanae.
 
Dogo, kama hujui kiti inaitwa LIMBWATA, ndio hiyo, icho kinachouma moyoni na unalia kiujingaujinga ni kwamba nafsi yako imekamatwa. kimbilia kwa Yesu, acha uzinzi, umeshalizwa.
 
Inamaana ww una miaka 23? Ww ni mtoto mdogo sanaaaaaa
 
Kwa nini mnapenda kupotosha vijana badala ya kuwapa muongozo?

Huyo mwanamke siyo rika lake, Pili ana mume wake, watu wa rika lake wamejaa kibao na wanatafuta wenza, si vyema kumpotosha mtu kwenye vitu sensitive.
Ni kweli huyo mwanamke kashapoteza kwaiyo ana force ndoa, ni vizuri mwanaume umezidi miaka 10 mwanamke, wanawke waki Afrika wanakuwa sana kimwili,huyo mwanamke akijichanganya akamuoa tu baada ya miaka 8 tu atamuona kama mama yake mdogo.
 
Sasa wewe una miaka 23 halafu una husiana na mwanamke wa miaka 32 tena ana mtoto mkubwa wa miaka 8?!

Nini kinakufanya uwe na akili ya kuamini kuwa utaweza kumuongoza yeye na mtoto wake na kujenga nae familia bila kupata wakati mgumu?!

Kwann upate kazi ya namna hiyo na wewe ni kijana mdogo sana. Mwanamke unaetakiwa kumuoa bado hajazaliwa kabisa. Wapo wanawake wa kupatia experience tu hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 22 bado akili haijakomaa ni kijana anahitaji muongozo tu, na usikute amesharogwa na huyo mwanamke maana graph yake hapo hot Kwa umri wake ingawa siyo wote.
Ni kweli kwa kijana wa miaka 22 ni bado kijana mdogo sana wakuwaza ndoa na mwanamke wa miaka 32, Kijana wa miaka 22 unatakiwa uwe mpenzi wa miaka 18 ili muanze kupata uzoefu na ukishafikisha miaka 27 sasa hapo unaweza kuoa binti wa miaka 20 , 22.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…