Naomba maoni yenu huyu mwanamke ananiumiza sana

Ni kweli huyo mwanamke kashapoteza kwaiyo ana force ndoa, ni vizuri mwanaume umezidi miaka 10 mwanamke, wanawke waki Afrika wanakuwa sana kimwili,huyo mwanamke akijichanganya akamuoa tu baada ya miaka 8 tu atamuona kama mama yake mdogo.
Dooh
 
Kwa mwili wangu ulivyo hata tukitembea tunaonekana tupo sawa tuuh, maana ninamwili mkubwa mnene kiasi nimepanda hewani midevu kama yote
 
Kwa mwili wangu ulivyo hata tukitembea tunaonekana tupo sawa tuuh, maana ninamwili mkubwa mnene kiasi nimepanda hewani midevu kama yote
Kenge huwa hasikii hadi damu imtoke masikioni.

Achana na huyo mwanamke atakusumbua huwezi kufika naye mbali kimaisha na atakayekuja kufanya maamuzi ya kuachana ni wewe.

Kwanza ana mume tyr huyo aliyezaa naye. Hapo anajipendekeza kwako kwasababu ambazo kwa sasa hawezi akakuweka wazi
 
Shule zishafunguliwa kuwa bussy na masomo kijana!! Utakuja kufa kabla ya siku zako mapenzi hayo tupo hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…