Naomba mawasiliano na kiongozi wa Yanga, nina pendekezo

Naomba mawasiliano na kiongozi wa Yanga, nina pendekezo

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
1,143
Reaction score
2,475
Wakuu naomba kama kuna mtu anaweza nikutanisha ni viongozi kati ya hawa Ally Kamwe, Manara, Rais, hata kama si kukutana nao basi mawasliano tu maana mimi sipo Dar.

Nina pendekezo liitwalo "Timu Yangu, Jezi Yangu, Kadi Yangu", humu kuna namna ambayo timu inaweza ikaingza pesa nyingi sana kupitia jezi na kukata kadi. Kwa utafiti niliyoufanya hakika wavaa jezi bandia wanalaumiwa bure tu, kwani jezi halisi hazifiki kabisa kwa wakati mikoani ni zikifika huuzwa mpaka elfu 60 na watu wanahtaji.

Kuhusu kadi ni kama vile mambo mengi, wanaopata huduma za timu ni wale walioko Dar tu ila mikoani watu wamesahaulika.

Sasa nimeandka pendekezo la mradi linaloweza kufanyiwa kazi na huenda timu ikavuka sana kuliko kukalia vijembe tu, wakati timu zetu ni masikini huku zikiwa na mamilioni ya mashabiki.

MAWASILIANO 0748628429.
 
Back
Top Bottom