- Thread starter
- #41
Sawa mkuuMkuu saidia pale unapoweza,usipoweza kausha na usijali nani ataongea nini.
Unataka uache kazi then?...
Just grow wise and wiser mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuMkuu saidia pale unapoweza,usipoweza kausha na usijali nani ataongea nini.
Unataka uache kazi then?...
Just grow wise and wiser mkuu.
Kama mnakaa karibu karibu hama nenda mbali kidogo na yeye, Kisha mtafute mkae mahali, ikiwezekana awepo na mtu mwingine, mshukuru kwa kile alichokufanyia na umwambie ukweli katika hali unayopita nayo, na utafute kiasi cha pesa ambacho utampa kama msingi wa yeye kufanya biashara, kumbuka biashara huanza na mtaji mdogo.Natamani ningekuwa na uwezo huo wa kumuunganisha Tena Ila sina ,maana mm ni mtu tu baki
Sawa, Asante Kwa ushauriKama mnakaa karibu karibu hama nenda mbali kidogo na yeye, Kisha mtafute mkae mahali, ikiwezekana awepo na mtu mwingine, mshukuru kwa kile alichokufanyia na umwambie ukweli katika hali unayopita nayo, na utafute kiasi cha pesa ambacho utampa kama msingi wa yeye kufanya biashara, kumbuka biashara huanza na mtaji mdogo.
Na umueleze kuwa asitegemee tena kama utaendelea kumpa pesa na utabaki kuwa rafiki katika shida na raha.
Ni mtu mzuri usimuache ila usiendelee kumpa mshahara kila mwezi acha haifai.
SawaaAmnaa huyo ni best ever! Huwez kujua umuhim wake mpaka utafte kazi nyinginee... Tafta namna y kumpiga taf kubwa hata mradi asmamie yeye LAKIN zoez la kumpa mshahr kila siku kuna siku utachoka tu