Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
chupi na soksiWapenzi wangu,
Kuna rafiki yangu anataka kufungua biashara ya nguo ipi itamfaa.
Hii yakuprint tshirts na blauzi au kuletewa nguo kutoka njee na ninguo gani zitakuwa na wateja??
Ujanja wote best[emoji16]Kwakweli sina uzoefu na biashara ya nguo my friend [emoji847][emoji847]
sijawahi kufanya hiyo biashara rafiki yanguUjanja wote best[emoji16]
lokesheni wapii?Wapenzi wangu,
Kuna rafiki yangu anataka kufungua biashara ya nguo ipi itamfaa.
Hii yakuprint tshirts na blauzi au kuletewa nguo kutoka njee na ninguo gani zitakuwa na wateja??
Thread ilipaswa kuwa jukwaa la biashara kule, ndio kuna wadau wa hizi inshuu za biasharaa.Wapenzi wangu,
Kuna rafiki yangu anataka kufungua biashara ya nguo ipi itamfaa.
Hii yakuprint tshirts na blauzi au kuletewa nguo kutoka njee na ninguo gani zitakuwa na wateja??
Bado hata sijajua maana hata chumba bado kutafuta but itakuwa arushalokesheni wapii?
Za kuprint aachane nazo hazina flow nzuri, labda awe mtaalam sana mwenye base nzuri. A deal na nguo za kawaida tu kutoka nje. Anunue mabelo, auze reja reja. Zikiwa za kike au watoto ndio itapendeza zaidi.Wapenzi wangu,
Kuna rafiki yangu anataka kufungua biashara ya nguo ipi itamfaa.
Hii yakuprint tshirts na blauzi au kuletewa nguo kutoka njee na ninguo gani zitakuwa na wateja??
ok SAWA mrembo akipata chumba mnijulisheBado hata sijajua maana hata chumba bado kutafuta but itakuwa arusha
Why??ok SAWA mrembo akipata chumba mnijulishe
Kama unataka ufanye biashara yoyote usisikilize sana maneno ya watu kwenye kila biashara ya mtu aliyefanikiwa kuna mtu amepoteza hela zake nyingi hvyo try to do what you love and be carefullyWapenzi wangu,