Naomba mawazo yenu

Naomba mawazo yenu

Wapenzi wangu,
Kuna rafiki yangu anataka kufungua biashara ya nguo ipi itamfaa.

Hii yakuprint tshirts na blauzi au kuletewa nguo kutoka njee na ninguo gani zitakuwa na wateja??
Thread ilipaswa kuwa jukwaa la biashara kule, ndio kuna wadau wa hizi inshuu za biasharaa.

Nguo za watoto na wadada.

Kama location ni karibu na hospital nguo za watoto itapendeza.
 
Wapenzi wangu,
Kuna rafiki yangu anataka kufungua biashara ya nguo ipi itamfaa.

Hii yakuprint tshirts na blauzi au kuletewa nguo kutoka njee na ninguo gani zitakuwa na wateja??
Za kuprint aachane nazo hazina flow nzuri, labda awe mtaalam sana mwenye base nzuri. A deal na nguo za kawaida tu kutoka nje. Anunue mabelo, auze reja reja. Zikiwa za kike au watoto ndio itapendeza zaidi.
 
Wapenzi wangu,
Kuna rafiki yangu anataka kufungua biashara ya nguo ipi itamfaa.

Hii yakuprint tshirts na blauzi au kuletewa nguo kutoka njee na ninguo gani zitakuwa na wateja??
Kama unataka ufanye biashara yoyote usisikilize sana maneno ya watu kwenye kila biashara ya mtu aliyefanikiwa kuna mtu amepoteza hela zake nyingi hvyo try to do what you love and be carefully
 
Back
Top Bottom